Mi mwenyewe mda sio mwingi nasepa Halotel,, Ukiachilia kupunguza mb na Huduma zao kuyumba kingine cha hatari zaidi>>>>
WANAKULA SANA MB,
Yana unaeza ukajua kuna mfereji kwenye cm unaondoka nazo,
Nishawashindwa mie,,
Bye bye Haotel......
Unashindwa kutofautisha dini na dhehebu! Dini ni moja tuu lakin madhehebu yapo! Kwa kauli ya mtume wa mungu ni kwamba kutakuja makund zaid ya sabini lakini moja tuu ndio litakuwa sahihi!
Uislam ni mmoja na utaendelea kuwa mmoja! Mtaendelea kuuchafua ila hamtoweza!
Endeleen kudumisha ushoga na...
Tengeru wizi ulikuwa zaman sio sasa! Asa ivi wote washamba tuu! We unatoka dar es salaam unakuja kuibiwa tengeru!? Waambie viongoz waanze na dar es salaam! Tengeru wez waliobak ni wale wanaotembea usiku wakikuta kitu nje hawaach panoja na wez wa kuku!
Nyie mlitaka watu wasisome au!? We shida yako nn kila mtu anatafuta maisha yake akimaliza atajua wap atatafuta kazi ili maisha yake yaende! Sisi apa tumejaa umbea tuu shule zetu mbovu alaf tunataka watu wafaulu kwa viwango vya juu c ukhabithi huu!
Acha watu wakatafute maisha yao popote na kwa...
Yani kuna watu wanajitesa akili na kingereza kiiingi eti kisa kasikia mashoga wamewekwa ndani.
Mara oooh tunahitaji uchumi upelekwe mbele sijui non, asa unataka uchumi alaf wajenga uchumi wamelegea matako kwa kudukuliwa kila siku!
Alaf anauliza mtu anauliza Mugabe ni nani! Dah mtu ata...
Dar es salaam watu wamezaa bila mpango hela hakuna, wazazi hawajiwezi! Acha vijana wabeti tupate ela ya kula! Naweka jero timu nne kila siku sikosi mpunga wa supu! Ukinia hela ya mtaji naacha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.