Ya mjomba hiyo ndiyo maana wanaamasisha wananchi.wakuu wa mikoa na wilaya wanahamasisha watu wacheze biko
Ndio, au hujawasikia, yaani ni vituko kabisaHe! Watu wanahamasishwa kubet na viongozi wa serikali?!
mkuu mshana huli nalo litapita wakati nyie mkiwa vijana na sisi tukiwa watoto baba alikuwa akinipeleka kariakoo nilikuwa nakuta wanacheza jackpot bingo na michezo mingine kibao but yote leo haipo. na hizi betting,biko,tatumzuka nazo zitaondoka tuUnaitwa mchezo wa matumaini, kupata au kukosa, mchezo uliowafilisi wengi kuwafaidisha wachache na kuwanufaisha wamiliki. Zipo taratibu ngumu za kufanya hii biashara ya mashine za Kamari na michezo ya kubahatisha, lakini kwa kuchukulia mambo ya mazoea au vinginevyo taratibu zinakiukwa.
Hii biashara imekuwa kwa kasi mno miaka ya karibuni, kuna makasino karibia kila mahali sasa. Lakini kibaya na kwamba hii biashara sasa imetoka huko kwenye makasino na kuingia mitaani kwenye vibanda vya kubet sasa kuna vimashine vidogovidogo portable vinasambazwa mpaka sehemu zisizoruhusiwa kisheria kufanya hii biashara.
Kamari si mchezo mzuri unaleta wezi unaleta ujambazi, unalemaza vijana na kuacha kufanya kazi zenye tija, unahamasisha ulevi na umalaya kutelekeza familia na wengine kuleta magonjwa.Unasababisha mauaji mifarakano na migongano kati ya jamii.
China waliliona hili mapema wakapiga marufuku kuchezwa hovyo wakachagua maeneo maalum ya kufanya hii biashara walijua kwanini waliona mbali tulipaswa kujifunza kutoka kwao.Tunaliangamiza taifa na kulemaza kizazi.
Kuna mengi yakutazamwa upya vibali leseni maeneo ubora wa mashine nk, uzalendo ni dhana ngumu kuitekeleza kwa vitendo na uhujumu uchumi sio wizi wa fedha za Umma tuu.
kubeti ni kutamu sana asikuambie mtu, kubetii rahaaa kama ilivyo avatar yetu hahahahahKwani kuna shida mkuu? Kuna watu wanaendesha Familia kwa kubeti tu
Chai nimekunywa toka NIKIWA mdogo sijaona faida yake sasa sijawahi kushika mili 100 kwann nisipige perfect 12 nikashinda 190 mil???????Wamebadili jina wanaita betting, mama yangu kabla sijajua nilikuwa nikipita mtaaani nawaona vijana wengi wana karatasi na kalamu,, nikawa nashangaa nini kimetokea hapa mjini? mbona naona vijana wanapenda kujisomea siku hizi. kuja kugundua nini wanafanya niliishiwa nguvu. Kuna watu wanadesh hata chai ii aende aka bett. kwa kweli hili ni janga mkuu.
Unaitwa mchezo wa matumaini, kupata au kukosa, mchezo uliowafilisi wengi kuwafaidisha wachache na kuwanufaisha wamiliki. Zipo taratibu ngumu za kufanya hii biashara ya mashine za Kamari na michezo ya kubahatisha, lakini kwa kuchukulia mambo ya mazoea au vinginevyo taratibu zinakiukwa.
Hii biashara imekuwa kwa kasi mno miaka ya karibuni, kuna makasino karibia kila mahali sasa. Lakini kibaya na kwamba hii biashara sasa imetoka huko kwenye makasino na kuingia mitaani kwenye vibanda vya kubet sasa kuna vimashine vidogovidogo portable vinasambazwa mpaka sehemu zisizoruhusiwa kisheria kufanya hii biashara.
Kamari si mchezo mzuri unaleta wezi unaleta ujambazi, unalemaza vijana na kuacha kufanya kazi zenye tija, unahamasisha ulevi na umalaya kutelekeza familia na wengine kuleta magonjwa.Unasababisha mauaji mifarakano na migongano kati ya jamii.
China waliliona hili mapema wakapiga marufuku kuchezwa hovyo wakachagua maeneo maalum ya kufanya hii biashara walijua kwanini waliona mbali tulipaswa kujifunza kutoka kwao.Tunaliangamiza taifa na kulemaza kizazi.
Kuna mengi yakutazamwa upya vibali leseni maeneo ubora wa mashine nk, uzalendo ni dhana ngumu kuitekeleza kwa vitendo na uhujumu uchumi sio wizi wa fedha za Umma tuu.
Haaa haaaa jamani nimecheka eti nini kimetokea hapa mjini, jamani nimecheka haaaaWamebadili jina wanaita betting, mama yangu kabla sijajua nilikuwa nikipita mtaaani nawaona vijana wengi wana karatasi na kalamu,, nikawa nashangaa nini kimetokea hapa mjini? mbona naona vijana wanapenda kujisomea siku hizi. kuja kugundua nini wanafanya niliishiwa nguvu. Kuna watu wanadesh hata chai ii aende aka bett. kwa kweli hili ni janga mkuu.
Jamani namimi nielekezeni nabet VIP maana naona nachelewa pesa nje njehii betting nzuri sana ishanivalisha sana na hata simu nayo tumia sasa ivi ni matokeo ya betting muhimu uweze kuji control na addiction yake
Ajira hakuna, Mishahara haipandi, vipato viko palepale, maisha magumu,,, vijana siku hizi hawaibi waacheni wabeti jaman eeeeh dah, wapeni mitaji basi
Sitasahau siku nimekosa pesa ndani na Mtoto yupo busy kudai mahitaji yake nikatia 700 ikatoka 20000 nikampa, Baba haishiwi mbinu ukiona hata kutumia akili huwezi basi hata nguvu itakuwa ni shida pia.
Ngoja niwape ushuhuda kidogo. Mie nimefanya kazi serikali na naendelea na kazi kwa takriban miaka 8 sasa. Nimejitahidi sana kudunduliza kwa kusave kamshahara kangu ili niwe na angalau kitega uchumi cha kunipa 15,000 kwa siku imeshindikana. Nikasikia wenzangu wanatia mkeka nami nikajifunza. Kiukweli kama hauna tamaa za kijinga haukosi 20,000 kwa siku.
Kuna siku walikuwa wanacheza Juventus na R. Madird fainali uefa. Nikajitoa ufahamu nikatia 100,000 kwa kumpa Juventus goli la kuanzia (inaitwa handcap) baada ya game nilikuwa na 1.4Mil maana Madiri alishinda 3:1 ambayo kwangu ilikuwa inasoma 3:2. Sihamasishi betting lakini ukiondoa tamaa za kutaka mil 80 kwa elfu 5 utapata pesa ila ukitaka mil 80 kwa elfu 5 kila siku utakuwa unaliwa.
Kwa mtaji huo nimeweka kitega uchumi fulani. Sikosi 12-16 elfu kwa siku.
Mzee huu ni ugonjwa unaitwa pathological gamblin uki kukolea ipo siku utarudisha mali zote ilizopata, ni addiction kama ng'adaNgoja niwape ushuhuda kidogo. Mie nimefanya kazi serikali na naendelea na kazi kwa takriban miaka 8 sasa. Nimejitahidi sana kudunduliza kwa kusave kamshahara kangu ili niwe na angalau kitega uchumi cha kunipa 15,000 kwa siku imeshindikana. Nikasikia wenzangu wanatia mkeka nami nikajifunza. Kiukweli kama hauna tamaa za kijinga haukosi 20,000 kwa siku.
Kuna siku walikuwa wanacheza Juventus na R. Madird fainali uefa. Nikajitoa ufahamu nikatia 100,000 kwa kumpa Juventus goli la kuanzia (inaitwa handcap) baada ya game nilikuwa na 1.4Mil maana Madiri alishinda 3:1 ambayo kwangu ilikuwa inasoma 3:2. Sihamasishi betting lakini ukiondoa tamaa za kutaka mil 80 kwa elfu 5 utapata pesa ila ukitaka mil 80 kwa elfu 5 kila siku utakuwa unaliwa.
Kwa mtaji huo nimeweka kitega uchumi fulani. Sikosi 12-16 elfu kwa siku.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Kweli yaan wahusika wakatae tu haya mambo mfano wake kwa mimi nionavyo ni huu.
BABA anaruhusu MTU aje awatapeli WATOTO wake kwa kuwa tu huyo MTU atamlipa BABA huyo asilimia kadhaa ya KODI.
Anasahau yeye kama BABA matatizo yataongezeka kwake WATOTO wakiwa hawana kitu.