Recent content by kyimo rungwe

  1. kyimo rungwe

    Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

    sio kweli,Mungu muumba ni mmoja tu,hii mingine ni ya uongo.sio kweli kuwa mataifa yaliyoendelea yameendelea kwa sababu ya kukumbatia Miugu yao.et mfano America,ulaya ba Asia.mfano nchi za ulaya zilikuwa zikiamini katika Miungu mbalimbali wagiriki walikuwa na miungu mingi lakini Zeus ndiye...
  2. kyimo rungwe

    Natafuta Xperia Z2 fasta

    Piga 0712824441.pia kuna blackberry z30
  3. kyimo rungwe

    Jijini Mbeya: Mpango wa usafi ni mzuri ila hamjajipanga, jipangeni kwanza kabla hali haijawa mbaya

    Taka kila kona zinazagaa, Ilomba ni week sasa hasa upande wa Sae hazijachukuliwa!
  4. kyimo rungwe

    Kagame complains of inaction on DR Congo rebels

    kwa nini anakwepa kuzungumza nao!!migogoro hutatuliwa kwa mazungumzo,ikishindikana ndipo nguvu itumike.kagame anakwepa nini kuzungumza nao hao wanyarwanda wenzie?au ni hasira za kusambaratishwa kwa M23?
  5. kyimo rungwe

    Urais 2015: UKAWA waanza safari

    acha propagana za kijinga,umetumwa na magamba!
  6. kyimo rungwe

    Hivi ni kwanini jina la ubini / ukoo linatumika la baba?

    njoo unyakyusa ujifunze jinsi kwa jadi majina yanavyotoka upande wa mama,ukisikia mnyakyusa anaitwa david mwakyusa ujue bibi yake na baba yake alitwa ..... kyusa.wanaume wanaongeza prefix mwa.kama ni bint anaitwa kissa ijande ,ujue bibi yake mzaa baba anaitwa ..... ijande.
  7. kyimo rungwe

    Wakuiokoa CCM ni Agustino Ramathani

    ulichokisema ni kweli,hata mimi naamini hivyo,atapunguza mpasuko miongoni mwa makada,udini,ubara na uzanzibar.wakilalamika ni zamu ya visiwani jibu ndio hilo,wakilalamika kwa hoja dhaifu ya kuwa ni zamu ya wakristo yeye ni jibu maana ni ngumu kupata mgombea toka visiwani mwenye sifa kuzidi jaji...
  8. kyimo rungwe

    Sugu kuenguliwa kura za maoni

    mwanjelwa ipi ya igamba mbozi au luswisi uko ileje?me naishi mwanjelwa ya mbeya jiji,nashinda sido mbeya jiji,tuambie maana mleta uzi kakurupushwa.
  9. kyimo rungwe

    Sugu kuenguliwa kura za maoni

    ukabila gani na upi huo kama sio majungu tu?MWACHENI JEMBE LETU SUGU BADO ANAHITAJIKA MBEYA NA HII SIO TETESI NI UHALISIA,KAMA HUTAKI NJOO MBEYA UPATE UKWELI.NI RAISI MBEYA MUULIZE MH.KANDORO ANALIFAHAMU HILI
  10. kyimo rungwe

    Sugu kuenguliwa kura za maoni

    acha unafki wewe SUGU na ukabila wapi na wap?yeye mkinga,mwambigija mnyakyusa,na mkoa wa mbeya makabila ya asili ni wanyakyusa,wasafwa,wandali ,wanyiha,walambya,wanyamwanga na wahamiaji.sasa tuambie Sugu anafanya ukabila kwa kutumia kabila gani?acha unaa
  11. kyimo rungwe

    UKAWA umeua CUF na NCCR, unanufaisha CHADEMA

    chaguzi wa 2010 ukawa ilikuwepo?mbona cdm ndio iliyokuwa inasikika pia !
Back
Top Bottom