mwandeko
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 286
- 120
litazane jiji la mbeya jinsi lilivyo sasa hivi na rudi miaka 5 iliyopita ndipo utagundua kuna mabadiriko anbayo kwetu sisi wana mbeya ni maendeleo na tunajivunia jiji letu tofauti na kipindi kile lilivyokua linaitwa jiji kisiasa na hii yote imefanyika chini ya uangalizi wa sugu sijui ww wa wapi unakuja na tetesi ,bila shaka utakua ni miongoni mwa wanaolipwa na ccm kuwachafua chadema,na suala la kutekeleza aliyoyasema wakati wa compaign sidhani kama kuna mbunge tz hii ametekeleza kila aliachoahidi wakati wa compaign ndani ya miaka 5 kwani hata raisi alituahidi watu wa kyela kutuletea meli itakayokua inabeba abiria si chini ya 400! iko wapi? pia ukumbuke kua kuna bunge la budget na tukitaka kila mbunge atekeleze kile alichoahidi basi budget ya tz nzima inaweza ikaishia mbeya tuu