breki sifungi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 694
- 409
Eti wanatumia hata ukabila ! Ukiwa muongo usiwe msahaulifu mkuu , sugu na mwambigija mbona makabila yao tofauti ?
achana nae huyo inaonekana habari yenyewe kapewa na mkewe
Eti wanatumia hata ukabila ! Ukiwa muongo usiwe msahaulifu mkuu , sugu na mwambigija mbona makabila yao tofauti ?
ukabila gani na upi huo kama sio majungu tu?MWACHENI JEMBE LETU SUGU BADO ANAHITAJIKA MBEYA NA HII SIO TETESI NI UHALISIA,KAMA HUTAKI NJOO MBEYA UPATE UKWELI.NI RAISI MBEYA MUULIZE MH.KANDORO ANALIFAHAMU HILIKumbe mkabila. Tanzania havumiliki huyo.
Duhhh....!!!!! Hili nalo ni dhumuni la kuanzisha JF...??? Hata kama inauma sana lakini responce hii ni too much..!!! Mkuu kubali tu mawazo mbadala ndiyo dunia hiyo mkuu. Tumelelewa tofauti na tunawaza tofauti Mkuu...!!!!
we ni mkazi wa mby? au unakisia kisia tu hapa na ww uonekane umeitaja the grean city? ni vema ukauliza kwa cc wenyeji wa mbeya ufahamishwe, hakuna kipindi ambacho mby imewahi kung'ara kwa mitandao ya barabara km hv sasa, pum.bavu kaa kimya ww
acha kuwashwa we mkundu sugu anakubalika sio tu mbeya yaan mkoa mzima kama huamini fuatilia mapokezi aliyoyapata wakati akiwashukuru wanambeya kwa kuichagua cdm ktk defokali za mitaa
ukabila gani na upi huo kama sio majungu tu?MWACHENI JEMBE LETU SUGU BADO ANAHITAJIKA MBEYA NA HII SIO TETESI NI UHALISIA,KAMA HUTAKI NJOO MBEYA UPATE UKWELI.NI RAISI MBEYA MUULIZE MH.KANDORO ANALIFAHAMU HILI
Tetesi zilizopo ndani ya CHADEMA zinasema nilazima sugu aenguliwe kwenye kura za maoni kutokana na vijana kuona kwamba mambo waliyotegemea kufanywa na sugu kushindikana. madai ya msingi ni kwamba amekua mbali na vijana waliojitolea mda na mali zao kuhakikisha anashinda uchaguzi wa 2010 na kuendelea kumkumbatia mwenyekiti anayeejiita mzee wa upako hata pale inapodhihirika mzee huyo kufuja pesa za chama.Madai mengine ni kwamba amekua akipanga safu ya uongozi waitakayo akishirikiana na mwambigija kitu kilijojidhihirisha wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama na serikali za mitaa,vilevile wakati wa uchaguzi wa katibu BAVICHA sugu na MWAMBIGIJA walithubutu kutumia hata ukabila ili kuwaengua baadhi ya wagombea,vitend hivi vimetuudhi vijana na tutahakikisha ili kuleta usawa ndani ya chama SUGU atupishe maana hiki chama ni chetu sote
Sugu hakubaliki popote acha uongo
Eti wanatumia hata ukabila ! Ukiwa muongo usiwe msahaulifu mkuu , sugu na mwambigija mbona makabila yao tofauti ?
vipi kuhusu shibuda?
Unaanzia wapi kumuengua Sugu kwenye jimbo la Mbeya Mjini? Mimi najua kama Mbunge wa Viti Maalum, Mary Mwanjelwa analitaka kwa udi na uvumba Jimbo la Mbeya Mjini, ila hofu yake kubwa ni uwepo wa Sugu pale, ameshafanya mambo mengi sana ili kujaribu kumfunika Sugu lakini kachemsha.
Najua wewe utakuwa ni kijana wa Mary tu unayetaka kujaribu kuyapika majungu ukiamini unaweza kumchafua Sugu, lakini hamtapata kitu. Sugu anapendwa sana kwenye jimbo lake, na ndio maana hata alipopata ajali gari wana mbeya mjini walisema Mary ndio kajaribu kutupa kombora kwa sugu lakini kagonga mwamba.
Mbeya ni nchi, Rais Sugu.
Ova
Tetesi zilizopo ndani ya CHADEMA zinasema nilazima sugu aenguliwe kwenye kura za maoni kutokana na vijana kuona kwamba mambo waliyotegemea kufanywa na sugu kushindikana. madai ya msingi ni kwamba amekua mbali na vijana waliojitolea mda na mali zao kuhakikisha anashinda uchaguzi wa 2010 na kuendelea kumkumbatia mwenyekiti anayeejiita mzee wa upako hata pale inapodhihirika mzee huyo kufuja pesa za chama.Madai mengine ni kwamba amekua akipanga safu ya uongozi waitakayo akishirikiana na mwambigija kitu kilijojidhihirisha wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama na serikali za mitaa,vilevile wakati wa uchaguzi wa katibu BAVICHA sugu na MWAMBIGIJA walithubutu kutumia hata ukabila ili kuwaengua baadhi ya wagombea,vitend hivi vimetuudhi vijana na tutahakikisha ili kuleta usawa ndani ya chama SUGU atupishe maana hiki chama ni chetu sote
Yaani hawa wasafwa hawatambui himaya ya mkwereee?
Duhhh....!!!!! Hili nalo ni dhumuni la kuanzisha JF...??? Hata kama inauma sana lakini responce hii ni too much..!!! Mkuu kubali tu mawazo mbadala ndiyo dunia hiyo mkuu. Tumelelewa tofauti na tunawaza tofauti Mkuu...!!!!
Mtu kama huyo anastahili tu kujibiwa chochote.