sasa mbona unalalamika kama unajua hilo, kama wewe unaona response yake haifai jua na yeye ndio mawazo yake, vinginevyo angepigwa ban
Makubwa basi....!!!!!
sasa mbona unalalamika kama unajua hilo, kama wewe unaona response yake haifai jua na yeye ndio mawazo yake, vinginevyo angepigwa ban
Mmmmmmmmmmm!
Mimi natokea mbeya lakini sijaona wala kusikia habari kama hizo, na mimi binafsi naona kama jamaa bado anakubalika
Tetesi zilizopo ndani ya CHADEMA zinasema nilazima sugu aenguliwe kwenye kura za maoni kutokana na vijana kuona kwamba mambo waliyotegemea kufanywa na sugu kushindikana. madai ya msingi ni kwamba amekua mbali na vijana waliojitolea mda na mali zao kuhakikisha anashinda uchaguzi wa 2010 na kuendelea kumkumbatia mwenyekiti anayeejiita mzee wa upako hata pale inapodhihirika mzee huyo kufuja pesa za chama.Madai mengine ni kwamba amekua akipanga safu ya uongozi waitakayo akishirikiana na mwambigija kitu kilijojidhihirisha wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama na serikali za mitaa,vilevile wakati wa uchaguzi wa katibu BAVICHA sugu na MWAMBIGIJA walithubutu kutumia hata ukabila ili kuwaengua baadhi ya wagombea,vitend hivi vimetuudhi vijana na tutahakikisha ili kuleta usawa ndani ya chama SUGU atupishe maana hiki chama ni chetu sote

Tena mwambie asijaze bytes zetu na mambo ya wishful thinking, shenzy type!Amka wewe gamba unaota sasa hivi wakati jua linawaka.
Utakua una malaria imekupanda kichwani, wahi Hospitali usije ukawa kichaa sasa hivi.
Au ulikua unapiga ramli usingizini sangoma wako kakwambia hivyo, maana nyinyi kwa kuamini giza, hamjambo.
Tetesi zilizopo ndani ya CHADEMA zinasema nilazima sugu aenguliwe kwenye kura za maoni kutokana na vijana kuona kwamba mambo waliyotegemea kufanywa na sugu kushindikana. madai ya msingi ni kwamba amekua mbali na vijana waliojitolea mda na mali zao kuhakikisha anashinda uchaguzi wa 2010 na kuendelea kumkumbatia mwenyekiti anayeejiita mzee wa upako hata pale inapodhihirika mzee huyo kufuja pesa za chama.Madai mengine ni kwamba amekua akipanga safu ya uongozi waitakayo akishirikiana na mwambigija kitu kilijojidhihirisha wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama na serikali za mitaa,vilevile wakati wa uchaguzi wa katibu BAVICHA sugu na MWAMBIGIJA walithubutu kutumia hata ukabila ili kuwaengua baadhi ya wagombea,vitend hivi vimetuudhi vijana na tutahakikisha ili kuleta usawa ndani ya chama SUGU atupishe maana hiki chama ni chetu sote
Vijana wa Mwanjelwa hawataki hata kumuona Sugu
sugu analoga sana
mi nakaa soweto hapa Mbeya sugu hajafanya lolote barabara zilikuwepo toka enzi za mkoloni
mwanjelwa ipi ya igamba mbozi au luswisi uko ileje?me naishi mwanjelwa ya mbeya jiji,nashinda sido mbeya jiji,tuambie maana mleta uzi kakurupushwa.Vijana wa Mwanjelwa hawataki hata kumuona Sugu