MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
Hivi unaamini kama RDF wanawaweza FDRL, kama walikwenda mwaka 1996 tena kwa msaada wa Uganda wakashindwa kuwamaliza, wakaja akina Laurent Nkunda na Bosco Ntaganda nao wakachemka itakuwaje kwa Rwanda yenyewe? Nakuambia ni siri nzito hata ile ya 1994 kuwashinda xFAR kulikuwa na watu nyuma yao tena wenye nguvu kubwa.
Unaweza niambia ngome ya FDLR ya wakatihuo ambayo RDF walipigana na FDLR na kushindwa kuwaondoa???au kufanya RDF watimue mbio au kuuwawa kama inavyofanyika huko nigeria?