Watoto wa Kihaya hawawazi vitu vidogo kama kanga nk wanawaza maendeleo , kama wewe ni mume wa kuwaza mambo madogo si size yako tafuta pwani utasitarehe.
mimi naomba nipate mali nyingi maana Suleimani alikuwa tajiri lakini alitii Mungu na Ayubu alikuwa tajili alimpendeza Mungu ila kubwa zaidi omba HEKIMA
nafikiri tuwaache kwanza peke yao alafu baadae yuwaulize kama wanataka muungano, maana sikuzote wanalalamika kwamba wanaonewa, kumbuka ngombe asipokatika mkia wake hajui thamani yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.