Hotuba ya Nape yaliza watu mkutanoni, Mbunge wa CUF na wafuasi wake wamshangilia

ucanii mtupu,kununua rada unasanii,ndege ya raic usanii,noti mpya usanii,kujivua gamba usanii,manunuz ndege za jesh usanii,mswada wa katiba mpya usanii,ahad za mkw.ere usanii n.k sasa hotuba ya Nepi vs machozi ya mmama usanii rubbish!!!!
 
upuuzi mtupu ujinga mkubwa acheni chama kimekufa laana......... mugu atawaonyesha... i hate ccm like helll..... mungu bariki cdm
nadhani nafasi yeyewe inajieleza,kuwa ni itikadi na uenezi,huwezi kukaa ofisini kama una nafasi ya uenezi ni lazima uzunguke nchi nzima kueneze sera na kukijenga chama,hivyo ndivyo ilivyo,lakini wale wazee hawakutaka kufanya kama nafasi inavyo wahitaji kufanya

ok Nape endelea na kazi uliyotumwa kwani chama kikifa juwa kimekufa mikonopni mwako,hivyo huna budi kukikomboa kutoka ktk janga la kuzama

lakini pia kuna yule jamaa aliyesababisha tukanunua rada kwa uro 41 badala ya uro 21 msipo mchukulia hatu kwa sisi tusio na vyama hatuta waelewa kabisa
 
HOTUBA NA NAPE YALIZA WATU MKUTANONI,
MBUNGE WA CUF NA WAFUASI WAKE WAMSHANGILIA

NA BASHIR NKOROMO, KILWA

HOTUBA aliyotoa Katibu wa NEC Itikati na Uenezi CCM Nape Nnauye, juzi
katika mji mdogo wa Kilwa Masoko, imeacha historia baada ya kuwaliza
baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano huo.

Wakati baadhi wakilizwa wengine wakiwemo wafuasi wa chama cha CUF
chini ya mbunge wa Kilwa Kusini kwa tiketi ya chama hicho, Selemani
Bungara maarufu kwa jina la *****, walilipuka kushangilia hotuba hiyo
huku wakipiga kofi za furaha.

Miongoni mwa walioangua kilio huku akitokwa machozi ni Asha
Likalangala (45) ambaye aliangua kilio hicho hadi Katibu wa NEC,
Oganaizesheni Asha Abdallah Juma aliyefuata na na Nape kulazimika
kushuka meza kuu kwenda kumyamanzisha kwa kumkumbatia.

Mkutano huo uliofayika katika viwanja vya Mkapa Garden, ulihudhuria na
mamia ya watu, wengi wao wakiwa ni wanachama wa CCM, wananchi wa
kawaida na baadhi ya wafuasi wa vyama vya upinzania ambao baadhi
walikuwa na nguo zenye nembo za vyama hivyo.

Nape ambaye alihutubia kwa zaidi ya saa moja huku akishangiliwa mara
kwa mara kwenye mkutao huo, akifafanua lengo na hatima ya maamuzi
yaliyofanywa na CCM mjini Dodoma Aprili mwaka huu alisema, kufuatia
mabadiko hayo yaliyopewa falsafa ya kujivua gamba, sasa Chama kimekuwa
na nguvu zaidi katika maeneo mengi.

Akizungumzia baadhi faida za baada ya mabadiliko hayo, Nape alisema
kama alivyo nyoka akijivua gamba, sasa Chama kimekuwa na sumu kali
yenye kukipa uwezo zaidi wa kuisimamia serikali katika kutekeleza
ilani ya uchaguzi na pia kimepata nguvu ya kuweza kurejesha haki pale
inapopotea.

"Tunajua kumekuwepo na baadhi ya watumishi wa serikali wasitekeleza
wajibu wao kama kujigeuza miungu watu, Polisi ambao kesi zikiingia
vituoni wanazigeuza 'dili', manesi na wauguzi ambao wananyanyasa
wagonjwa badala ya kuwatibu na wale tunaowapa ilani kusimamia
utekelezaji wa ilani ya Chama halafu wanatekeleza ilani za matumbo
yao, tunasema hawa wote siku zao zinahesabika, tutawashughulikia la
sivyo waabadilike haraka", alisema Nape na kushangiliwa.

Aliwaonya baadhi ya madiwani waliopata nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM
ambao wanajihusisha na ulanguzi wa ufuta wilayani Kilwa, na kuwataka
waache mara moja kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwaibia wakulima na
kutokitendea haki Chama Cha Mapinduzi.

Nape alidai baadhi ya madiwani wa CCM wamekuwa wakishirikiana na
mbunge wa Kilwa Kusini katika biashara hiyo, ambapo alisema licha ya
nunua ufuta huo kwa bei ya chini, pia wanawaibia wakulima kwa kuwa
kuna madai kwamba huichakachua mizani na kuonyesha imepina kiasi
kidogo badala ya kile halisi.

"Taarifa tulizo nazo ni kwamba walanguzi hawa mizani yao huichakachua
kiasi kwamba wakati wa kupima kilo moja na nusu huonekanan ni kilo
moja tu na hulipa kati ya sh.1,150 na sh. 1,200 wakati kwa kupitia
utaratibu uliopo wa serikali wa stakabadhi ghalani.

Nape alisema, walanguzi wanawibia wakulima kwa sababu katika utaratibu
wa stakabadhi ghalani wa serikali mkulima anapewa kianzio cha sh.
1,000 kwa kilo moja na baadaye huongezwa fedha kulingana na bei ya
soko katika mnada.

Aliseama hadi sasa bei ya mnada ya ufuta Kilwa imefikia sh. 1,700 kwa
kilo ambapo kwa kiwango hicho baada ya makato ya gharama za uendeshaji
mkulima atapata sh. 1,490 na kutokana na hali hiyo walanguzi
wanawaibia wakulima sh. 290.

Nape pia alisisimua kwa jinsi alivyofafanua madhara ya wafuasi wa
vyama kushabikia viongozi wanaochochea uvunjifu wa amani ambapo
alisema, wanaoathirika si viongozi hao bali wananchi ambao hujipeleka
mstari wa mbele.

Alifafanua kwa kina kadhia hiyo, akitoa mfano machafuko yaliyotokea
nchi moja Afrika Masharikimbako baada ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo,
kulizuka kutoelewana baina ya viongozi wakahamasisha wananchi kuingia
mitaani hatimaye wakakumbwa na madhara ya vifo na ulemavu huku wale
waliokuwa wakigombana wakiwa sasa wanakunywa chai pamoja Ikulu.

Katika ziara hiyo mkoani Lindi, Nape amefuatana na Katibu wa NEC,
Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma na Katibu Msaidizi Mkuu wa Idara ya
Itikadi na Uenezi, Sixtus Mapunda.

mwisho.

Nepi bwana....

si ukaweke kwenye wall yako Fesibuku?!

au umetuletea hii crap ili na sisi tulie.

sisi hatuna sympathy na ccm.

your craps will come and vanish.
 
hawa mbona hawakupigwa picha??

10.jpeg 1.jpeg 2.jpeg 3.jpeg 4.jpeg 5.jpeg 6.jpeg 7.jpeg 8.jpeg 9.jpeg
 
Kwa wale ambao hawakuwepo kwenye mkutano wanaweza kusema huyo mama alichukuliwa. Lakini kwa sisi tuliokuwa pale tuliona wengi tu wakisisimkwa na hotuba ya CCM mpya na jinsi inavyorudi kwenye maadili yake ya asili. Viva CCM vivaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Aluta continuaaaa!
ccm mpya wapi bana ..acheni vituko vyenu! issue ya magamba ndiyio imefikia wapi??
 
Sasa chakumliza mtu kiko wapi? au njaa iliyoenea kusini? maana serkali haina pesa ya chakula cha msaada halafu mwandish wa habari anakwambia kulia kwake kumevutwa na hotuba!!!!!.... Duu....
 
"Sasa chakumliza mtu kiko wapi?...." KAMALELA.
Pengine alikuwa analilia mikufu, bangili, na pete za gold za Mhe Asha Abdallah Juma:wof:
 
Hiyo mbinu ya 'kulia'' imeniacha hoi. Lakini it is a stunt ambayo sio kali au ngeni kihivyo..binafsi nlishaishuhudia hii kwene chaguzi za shule ya msingi..lakini nice try Magamba nonetheless.
 
Kwa wale ambao hawakuwepo kwenye mkutano wanaweza kusema huyo mama alichukuliwa. Lakini kwa sisi tuliokuwa pale tuliona wengi tu wakisisimkwa na hotuba ya CCM mpya na jinsi inavyorudi kwenye maadili yake ya asili. Viva CCM vivaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Aluta continuaaaa!
kwa iyo kulia kwao ndo kuashilia kuwa wanaipenda sana kweli nyie hamnazo
 
Aminia kamanda Nape na timu yenu ya sekretarieti. Hakika mnatupatia raha sana wana CCM, endeleeni kuwatetea wanyonge wa kusini na walanguzi wa ufuta na korosho.

Hivi ni Lowassa, rostam na Chenge ndio hufanya ploisi , mahakimu madakatari na manesi wasiwapatie wamamchi huduma. Nakuhakikishia ya kuwa hata wakifukuzwa hao udhaifu wa CCM ambao unatokana na mfumo utaendela tena maradufu na watakuwa hawana jipya la kuwaambia wananchi
 
HOTUBA NA NAPE YALIZA WATU MKUTANONI,
MBUNGE WA CUF NA WAFUASI WAKE WAMSHANGILIA

NA BASHIR NKOROMO, KILWA

HOTUBA aliyotoa Katibu wa NEC Itikati na Uenezi CCM Nape Nnauye, juzi
katika mji mdogo wa Kilwa Masoko, imeacha historia baada ya kuwaliza
baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano huo.

Wakati baadhi wakilizwa wengine wakiwemo wafuasi wa chama cha CUF
chini ya mbunge wa Kilwa Kusini kwa tiketi ya chama hicho, Selemani
Bungara maarufu kwa jina la *****, walilipuka kushangilia hotuba hiyo
huku wakipiga kofi za furaha.

Miongoni mwa walioangua kilio huku akitokwa machozi ni Asha
Likalangala (45) ambaye aliangua kilio hicho hadi Katibu wa NEC,
Oganaizesheni Asha Abdallah Juma aliyefuata na na Nape kulazimika
kushuka meza kuu kwenda kumyamanzisha kwa kumkumbatia.

Mkutano huo uliofayika katika viwanja vya Mkapa Garden, ulihudhuria na
mamia ya watu, wengi wao wakiwa ni wanachama wa CCM, wananchi wa
kawaida na baadhi ya wafuasi wa vyama vya upinzania ambao baadhi
walikuwa na nguo zenye nembo za vyama hivyo.

Nape ambaye alihutubia kwa zaidi ya saa moja huku akishangiliwa mara
kwa mara kwenye mkutao huo, akifafanua lengo na hatima ya maamuzi
yaliyofanywa na CCM mjini Dodoma Aprili mwaka huu alisema, kufuatia
mabadiko hayo yaliyopewa falsafa ya kujivua gamba, sasa Chama kimekuwa
na nguvu zaidi katika maeneo mengi.

Akizungumzia baadhi faida za baada ya mabadiliko hayo, Nape alisema
kama alivyo nyoka akijivua gamba, sasa Chama kimekuwa na sumu kali
yenye kukipa uwezo zaidi wa kuisimamia serikali katika kutekeleza
ilani ya uchaguzi na pia kimepata nguvu ya kuweza kurejesha haki pale
inapopotea.

"Tunajua kumekuwepo na baadhi ya watumishi wa serikali wasitekeleza
wajibu wao kama kujigeuza miungu watu, Polisi ambao kesi zikiingia
vituoni wanazigeuza 'dili', manesi na wauguzi ambao wananyanyasa
wagonjwa badala ya kuwatibu na wale tunaowapa ilani kusimamia
utekelezaji wa ilani ya Chama halafu wanatekeleza ilani za matumbo
yao, tunasema hawa wote siku zao zinahesabika, tutawashughulikia la
sivyo waabadilike haraka", alisema Nape na kushangiliwa.

Aliwaonya baadhi ya madiwani waliopata nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM
ambao wanajihusisha na ulanguzi wa ufuta wilayani Kilwa, na kuwataka
waache mara moja kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwaibia wakulima na
kutokitendea haki Chama Cha Mapinduzi.

Nape alidai baadhi ya madiwani wa CCM wamekuwa wakishirikiana na
mbunge wa Kilwa Kusini katika biashara hiyo, ambapo alisema licha ya
nunua ufuta huo kwa bei ya chini, pia wanawaibia wakulima kwa kuwa
kuna madai kwamba huichakachua mizani na kuonyesha imepina kiasi
kidogo badala ya kile halisi.

"Taarifa tulizo nazo ni kwamba walanguzi hawa mizani yao huichakachua
kiasi kwamba wakati wa kupima kilo moja na nusu huonekanan ni kilo
moja tu na hulipa kati ya sh.1,150 na sh. 1,200 wakati kwa kupitia
utaratibu uliopo wa serikali wa stakabadhi ghalani.

Nape alisema, walanguzi wanawibia wakulima kwa sababu katika utaratibu
wa stakabadhi ghalani wa serikali mkulima anapewa kianzio cha sh.
1,000 kwa kilo moja na baadaye huongezwa fedha kulingana na bei ya
soko katika mnada.

Aliseama hadi sasa bei ya mnada ya ufuta Kilwa imefikia sh. 1,700 kwa
kilo ambapo kwa kiwango hicho baada ya makato ya gharama za uendeshaji
mkulima atapata sh. 1,490 na kutokana na hali hiyo walanguzi
wanawaibia wakulima sh. 290.

Nape pia alisisimua kwa jinsi alivyofafanua madhara ya wafuasi wa
vyama kushabikia viongozi wanaochochea uvunjifu wa amani ambapo
alisema, wanaoathirika si viongozi hao bali wananchi ambao hujipeleka
mstari wa mbele.

Alifafanua kwa kina kadhia hiyo, akitoa mfano machafuko yaliyotokea
nchi moja Afrika Masharikimbako baada ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo,
kulizuka kutoelewana baina ya viongozi wakahamasisha wananchi kuingia
mitaani hatimaye wakakumbwa na madhara ya vifo na ulemavu huku wale
waliokuwa wakigombana wakiwa sasa wanakunywa chai pamoja Ikulu.

Katika ziara hiyo mkoani Lindi, Nape amefuatana na Katibu wa NEC,
Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma na Katibu Msaidizi Mkuu wa Idara ya
Itikadi na Uenezi, Sixtus Mapunda.

mwisho.

Source: MZALENDO
 
kwa wale ambao hawakuwepo kwenye mkutano wanaweza kusema huyo mama alichukuliwa. Lakini kwa sisi tuliokuwa pale tuliona wengi tu wakisisimkwa na hotuba ya ccm mpya na jinsi inavyorudi kwenye maadili yake ya asili. Viva ccm vivaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Aluta continuaaaa!
naona umepata ajira kila asubuhi lazima upate supu ya kijani.
 
kwani sisiem hawatuwafahamu kwa kupenda media coverage yaani hapo hao walio lia unakuta walikodiwa kenda kulia tu pale wameshachkua chao

MAGWANDA kwa media coverage ndio wenyewe, ukisoma Tanzania Daima ni kichefu chefu , ukurasa wa 1 na wa 3 habari ile ile inajirudia
 
Back
Top Bottom