Recent content by Kyangili

  1. K

    Alichonifanya huyu dada, sintokaa nisahau

    Aaaaaaa asikusumbue huyo achana naye. Huyo hatakufaa kwa lolote. Nakushauri kwa mujibu wa maelezo yako huyu atakusumbua. Futa mpaka namba yake ya simu kwenye simu yako Dunia ina watu wa aina nyingi, usiwe unazama kwa mtu kama huyu. Huyu ni shetani wa maisha yako. Unajuaje hata haya Mungu...
  2. K

    Usipohonga yakikukuta usilalamike

    Hapana dada naomba nikuambie hii ni jamii forum. Kwa haya maneno yako uliyoandika hapa UNAIPOTOSHA JAMII. Regardless ya umasikini na utajiri mwanamke na mwanaume wanahitajiana kimwili na kimalezi ya watoto watakaozaliwa. Inakupa heshima kama una watoto wanne kwa baba mmoja hata kama ni masikini...
  3. K

    Warembo punguzeni dharau huyu kaumbuka sasa

    Huyu mdada nafikiri ulipomuita alidhani unataka kumtongoza. Nafikiri hivyo lakini. Niwaambie tu akina dada, hata kama mtu akikuita kwa lengo la kukutongoza- wewe muheshimu mwambie samahani wewe siyo mtu wa tabia hizo kisha ondoka. Kumsonya mtu kwa hisia za kutongozwa ni kujibu au kutenda baya...
  4. K

    Nimepata mchumba Norway ana kilo 120, naombeni ushauri wa haraka

    Na mimi nilikuwa na wazo kama hili - I think you are joking
  5. K

    Mambo 9 ya kuumfanya Mpenzi wako akupende

    Wengine hayo yote tulicha kufanya mwaka 47. Ipo haja ya kufundishwa jinsi ya kuanza
  6. K

    Mabao matatu, manne, unafanya kazi, hautakaa uendelee!

    Mbona miss strong hujajibu? Nasubiria ati!
  7. K

    Mabao matatu, manne, unafanya kazi, hautakaa uendelee!

    Hebu nifafanulie dada yangu. kwa hapa goli linahesabiwa kwa nani, kwenu wote wawili au mwanaume ndiyo kipimo cha goli kwamba anatakiwa yeye mwanaume akushughulikie mpaka yeye apige hizo goli au huyu mwanaume anatakiwa akushughulikie mpaka wewe upate goli zako tatu. tafadhali jibu kwani...
  8. K

    Akina dada mpunguze kuomba omba

    sawa kupendezeshwa lakini wewe wakati mwingine tunamfahamu bwanako unayempa "k" lakini kupendezeshwa kwa wengine - inauma unajua?
  9. K

    Ma house boy na wake za watu

    Hapa mkuu umeteleza kidogo. Lu Mama zangu ndio wanatenda haya?
  10. K

    Wenye makalio makubwa wana michubuko na fangasi makalioni

    Ni ukweli kuwa matunzo ya mwili mnene unahitaji kuwa makini zaidi kuliko mtu mwenye mwili mwembamba. Lakini kwa uzi huu ulivyochukuliwa ni kama watu wanene wanakashifiwa-ingawa inaweza ikawa si hivyo. Nionavyo mimi usafi ni swala la mtu binafsi. Linahitaji kujielewa ukoje wewe binafsi na hatua...
  11. K

    Salaam kama hizi tafsiri yake nini?

    Kama walivyoshauri wengine, ni vigumu kuuzungumzia moyo wa mtu just kwa kutumia hizi sms.Sijui una umri gani, lakini pia kuna vitu vingi ambavyo nadhani huyu dada anafanya na kupitia hivyo hutashindwa kugundua kitu. Lakini short and clear - Kama unampenda na unadhani unaweza kula kitu chake basi...
  12. K

    Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

    Lakini kwa nini usiende kuombewa hapoa Kanisa la Tanzania Assemblies of God Arusha ili Mungu aingilie kati? Jaribu dear huwezi jua Mungu akakupa wako kwelikweli
  13. K

    Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

    Mimi siwezi kukusaidia kwani naishi Dar na wewe upo Ar. Labda nitumie namba ya simu nikushauri
  14. K

    Wanandoa kama mlishawahi fanya abortion muambiane

    Toba ni nini? Unatakiwa ufanye kivipi ndio tuite hii ni toba? Hebu tupe elimu ya jinsi ya kutubu.
  15. K

    Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

    Wakuu kuuliza siyo ujinga Hii MMU, MMU/CC ni nini hii? Ni vifupisho vya maneno gani? Je? VINANITENGA ki-kuchangia? nielimisheni naomba jamani
Back
Top Bottom