Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

Hapo kwenye RED - najiuliza lengo lako hasa ni nini?
 
kwa net salary ya 630,000 hata wewe haikutoshi
 
Lakini kwa nini usiende kuombewa hapoa Kanisa la Tanzania Assemblies of God Arusha ili Mungu aingilie kati? Jaribu dear huwezi jua Mungu akakupa wako kwelikweli
 
Jikague mara tatu kwanini wanachukuliwa na watu na wasiwe na msimamo na wewe. Kabla hujafanya maamuzi mengine jichunguze kwa makini huenda u dont knw how to handle and care a man
 
@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

Kweli kwa hiyo net salary lazima upate bwana mchovu sana,nafikiri haikutoshi hata wewe mwenyewe
 
@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

Hahahaaaa awe wako peke yako we mungu?? (Just joking jamani)
 
IMG-20140726-WA0001.jpg
 
Heheeee wanaume wa sasa hawalelekiii...utamlea akipendeza tuuu unalooo
bora tuu awe amekupenda kwa dhati

@arusha,baba mngoni, mama mchagga.

Wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni america naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: Ikiwa ntaachika ntatafuta man asiyemsomi,not handsome, mwenye robo ya kipato changu,aliyevusha umri wa kuoa, ethnical man

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini arusha awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti
 
Una moyo. Shughuli hiyo ya kumlea mwanaume hainikuti, Big NO. Kisa kufa na kihoro. Wanaume wenyewe wa kibongo, halooooo.
 
Back
Top Bottom