Salaam kama hizi tafsiri yake nini?

Salaam kama hizi tafsiri yake nini?

...asa wewe ndo unapotosha maana,mtu kukuonyesha kuwa wa muhimu kwake sio lazima awe anakutaka kilove...[/QUO

Mkuu Gefu hayo wayasema wewe. Mm nauliza tafsiri ya salaam za kila usiku na asubuhi toka kwa "dada". Sijui zina maana gani, naomba usinilishe maneno.
 
Sasa ww c kaka yake,ndio lazima uwe wa muhimu kwake
 
Mifano 3 ya vionjo hivyo ni:-
1. Mpendwa nikupendaye.....
2. Ni kawaida yangu kumuamsha nimpendaye sana. Asubuhi njema.
3. Chezea mimi wewe, ukinichunia nakusalimia. Ukinichukia nakupenda sana na ukiwa bize nakusumbua.

Vionjo vyake hatari,hasa hiyo ya tatu.Atakuwa mtu wa tanga huyo

Jaribu kumjibu kama mkuu hapa chini alivyosema.Siku na wewe mwambie "nakupenda pia",au muite dear,akiwehuka kwa furaha basi ujue ameshaiva huyo,tia chumvi ule.

we mjibu nawewe pia dear afu sikilizia .....koho
 
..kaka umekuja nitangazaaaa...mfungo ukiisha sikutumii tena sms
 
Mkuu Gefu hayo wayasema wewe. Mm nauliza tafsiri ya salaam za kila usiku na asubuhi toka kwa "dada". Sijui zina maana gani, naomba usinilishe maneno.[/QUOTE]

...we dogo acha kuweweseka bhana,kwani salamu ngapi unapokea na hazifanani, iweje za bidada ndo uzikomalie kiivyo kama huja mmaindi demu wa watu, acha izo bhana mke wa watu huyoo, we ushasema ni kaka basi na yeye ni dada yako nukta, mambo ya kutafsiri kila salamu unataka kujiaminisha unachofikiri...
 
Kama walivyoshauri wengine, ni vigumu kuuzungumzia moyo wa mtu just kwa kutumia hizi sms.Sijui una umri gani, lakini pia kuna vitu vingi ambavyo nadhani huyu dada anafanya na kupitia hivyo hutashindwa kugundua kitu. Lakini short and clear - Kama unampenda na unadhani unaweza kula kitu chake basi palilia hizo sms, kama unaona haiwezekani mwambie akome kukutumia meseji kama hizo.Uamuzi unao mwenyewe
 
...we dogo acha kuweweseka bhana,kwani salamu ngapi unapokea na hazifanani, iweje za bidada ndo uzikomalie kiivyo kama huja mmaindi demu wa watu, acha izo bhana mke wa watu huyoo, we ushasema ni kaka basi na yeye ni dada yako nukta, mambo ya kutafsiri kila salamu unataka kujiaminisha unachofikiri...[/QUOTE]

makavu live
 
mkuu isije wewe ndo una akili za kingono unalazimishia maana iwe hivyo unavotaka... labda dada anaonesha umuhimu wako kwake kama kaka.... we tulia untill she say it ..... then go for it...
 
Habari wanajamvi?

Kuna demu ambaye ananiita kaka kwa kuwa mimi na yeye ni kabila moja. Na aliniambia kuwa ana boyfriend wake, basi kwa kulijua hilo mimi nimekuwa namchukulia kama dada na nina heshimu kauli yake kuwa yuko na mahusiano na jamaa.

Lakini yapata wiki sasa dada huyu amezua kamtindo ka kunitumia sms usiku za kunitakia usiku mwema na kila asubuhi ananitumia sms kunitakia asubuhi njema.

Sms zake huwa na vionjo vya kuashiria kuwa mm ni mtu wa muhimu sana kwake. Nauliza wanajamvi salaam hizi tafsiri yake nini?

wabongokilakitu tunawaza ngono. kwahyo unataka ushaur?
 
..kaka umekuja nitangazaaaa...mfungo ukiisha sikutumii tena sms

Aaah! Dada usiache kunitumia. Sms zako zinanipa faraja sana. Hapa niko kwenye utafiti wa akili za wanaJF.
Ktk andiko langu hili hadi sasa nimepata comment 37. Mbili zikiwa ni majibu yangu. Hivyo waliotoa comment ktk andiko hili ni 35. Kati ya comment 35 ni tano tu ndizo zilijielekeza kwenye ushauri usiolenga uwezekano wa kuwepo kwa ngono. Zilizosalia zimetolewa na watu ambao akili zao zimejaa mawazo ya ngono.
Ndiyo hawa hawa wanaotoa maoni ya kumponda John Komba kwa tabia yake. Kwa matokeo ya utafiti huu, hawa wanaJF hata wakipewa ukatibu kata tu (achilia mbali ubunge) watafia gesti.
Badilikeni wanaJF ngono siyo dili. Dunia hii unapaswa kuiendesha na kamwe usiiruhusu ikuendeshe.
Asante kwa komenti zenu. Nafunga ukurasa rasmi.
 
Back
Top Bottom