Mambo 9 ya kuumfanya Mpenzi wako akupende

Mambo 9 ya kuumfanya Mpenzi wako akupende

Aaaargh kaka hiyo kazi "yao" yeye na house maid, bora pasi naweza piga, kupanga nguo kabatini, hooving nafanya ila hiyo mkuu sijui naonaje!!!!

Sasa mazee ukiwa na dishwasher mbona ni kiasi cha kuvipanga tu vyombo vinavyohitaji muosho na kuweka detergent halafu unafunga mlango na unakuwa umemaliza.

Hiyo nayo huwezi?
 
Sasa mazee ukiwa na dishwasher mbona ni kiasi cha kuvipanga tu vyombo vinavyohitaji muosho na kuweka detergent halafu unafunga mlango na unakuwa umemaliza.

Hiyo nayo huwezi?

Mkuu sio kuweza au laa, ni sipendi hiyo sijui ni kichaa au nini???!!!
Diaper ya mtoto nabadili bila shida kabisa, sokoni asubuhi weekends nazama nakusanya mazaga narudi mjengoni sina shida kabisaaaa, ila hilo aaanh wakiwa wako likizo tu!!!!
 
kufanya mapenzi naye, kumpatia chakula kizuri pamoja name kumpeleka saloon kwa usafiri au kusindikiza safari na kumsaidia kupika.
 
We osha mi nipige pasi nguo za kesho job ukija na ubaridi wa maji utanikuta na joto la ironing board!!!!
Hapo vipi mapumziko yake??!!!

Well.... I think i like the idea..... Uhhh!!!! Imaginations.....Imaginations
 
Wangu anayapata haya kwa kiwango kikubw sn,mpaka anazoea vibaya ss,na wakati mwingine hadi anajuta nisipokuwepo.Jana tu kakuta nimepika yeye kala tu.
 
well said Nigga...............
but ukweli mie napenda mwanaume msaidiaji yaani hata kama asinisaidie kazi but wakati nazifanya basi akae pemben awe ananipigia stori tunacheka pamoja nk yaani huwa hata kama hajaomba lazima nitampa tu..........
 
Back
Top Bottom