wadau hivi hii mala ya ngapi watumishi wa wizara husika wametoa matamko na hayajazaaa matunda, tunaanza na mh alisema ajira ni january, haya akaja mwimgine akasema ni february mwazoni haya leo tena wanawambia wanetu ajira ni mwezi march bila kusema tarehe ni lini ebu acheni uhuni nyie wizara ya...
mmekaa bar mmelewa meamua kuandika hivi uyu mbuza si ndiy yule kijana mwny roho ya kwanini anatakaga awe yeye tu siku zote, sikilizeni exposure ya sugu na mbuza ni CV tosha ya mbuza kukaa pembeni nakumucha sugu afanye yake jiji la mbeya linataka kiongozi jeuri kama sugu mmasema hamjaona tofauti...
Tanzania nia inchi isiyo na dini na inaheshimu imani ya kila mtu jambo la kushangaza eneo la umma tena jeshi ambalo watumishi wake ni imani tofauti pamekuwepo na huduma ya kitimoto swali je watu wasiotumia kiti moto waende wapi pls kuu angalia hili suala hili.
inaonekana wewe mgeni katika matumizi ya mtandao sasa wewe wape details zako uone hao matapeli amini tukuambiacho hakuna zali la pila mpagilio zaidi ya kuokota pesa njiani si hivi from no where unapewa pesa
yupo haruna moshi bobani bwana nakumbuka miye nipo la kwanza mwaka 98 jamaa anasoma sekondary ila nashangaa mpaka leo bado anacheza na umri wa miaka 20
inakera sana pala unapofuatilia mijadala ya bunge, nakuona wazi kuwa hawa viongozi wa bungeni wanaongozwa na hisia si weredi wa ambacho wanatakiwa kukifanya, leo mbunge katukana wazi kabisa kaachwa huyu anaomba nafasi ya tarifa mnasema msumbufu na kuamua mtoa nje pasipo kujua kaonyesha utovu upi...
ebwana hii sehemu sijui ina nini mpaka sasa ukifika pako vile vile pamechangamka mwaka jana mwenyeji wangu anasema twnde uku pamechangamka mda huu kufika naona kituo cha polisi, na njia panda nikasema hapa si maua bar akasema hapana panaitwa zero, jmaa mmoja akadakia akasema ndiyo penyewe mkuu...
Dah! Rubeye umemtaja jackson kuku nimestuka maana hawa jamaa waliviziaga mzee kasafiri wakaja na kundi lake na mapanga wakavamia nyumba wakabeba vitu vyote ndani kaka yangu mkawa anamjua jackson kuku akasema jackson dah wakampiga upanga kichwani akalazwa kitete week 2 jamaa sijui yupo hai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.