Recent content by Kwedikwezu

  1. K

    Barua kwa Lowassa

    Ulichotakiwa kufanya ni kutangaza nia yako kwa wana monduli,na siyo kuandika barua kwa mhe.lowassa. Mhe lowassa hana haki miliki ya ubunge monduli, wenzio wengi wenye nia kama yako wameshaanza kutangaza nia zao mfano.sanare,mwotiko,sakita lazaro sokoine nk,cha muhimu nenda kwa wananchi ndugu...
  2. K

    Hivi inakuwaje hujawahi kupanda ndege?

    Kupanda ndege mbona sio Starehe ni shida tu zinawafanya watu wazipande!!!!!!! Kama mtu anaweza kufa bila kuzipanda kabisa huyo namfagilia sana.....
  3. K

    Regia Mtema is No More!

    Nimemuona mnyika kwenye Luninga hapa akilizungumzia... ni habari za uhakika kabisa ........wanafanya mpango wa kuuleta mwili Jijini
  4. K

    Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    hilo swali nakumbuka wakati wa bunge la bajeti mbunge viti maalum wa arusha sokoine aliuliza serikali inampango gani wa kufanya mazungumzo na israel ili wafungue ubalozi tanzania, kwani walikuwa wanasaidia sana kwenye kilimo jkt. wizara ya mambo ya nje wameahidi kuanza mazungumzo ili ubalozi...
  5. K

    Kijana najituma sana kwa huyu mama, lakini bahili!

    . KWAHIYO WEWE UNATAKA KUMJEUZA BUZI LAKO????? KWANI NA WEWE HAUPATI RAHA?
  6. K

    Je, Kinachomponza Mbowe ni Anasa?

    Ni wajinga sana .............. Range ya sh120m ndio hanasa? ...............Historia ya maisha yake inajieleza...................Hajatokea Familia Makini.........
  7. K

    Bora wakati ule tulipokuwa na Rais Lowassa

    Hiyo system Unataka kumweka nani hapo ambae hajaoza ??? .............Mwanasiasa ambaye hajaoza kwa mtizamo wako Bado hajazaliwa ............ na kama kazaliwa bado hajaanza kwenda shule Bado................
  8. K

    Kentucky Fried Chicken (KFC) opens in Nairobi on Friday

    Bora wasije,watakuja kutuharibia Afya za watoto........ Unawaona watoto wa Kimarekani......au watoto wowotw wapenda chips Kuku? Hapo hakuna chakula Bora
  9. K

    Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    Mbeba weee box... mtimanyongo na njaa zako zinakusumbua, unataka maandamano ili ukaibe Madukani kwa wahindi kama hao Gang wa UK ?.......pengine unataka maandamano ambayo wewe mwenyewe mpaka uje upate makaratasi na maandamano yalisha pita.......Acha kuwapotosha watanzania
  10. K

    vitambulisho na leseni mpya za kisasa

    Hapana wamekosea.....Foreigner ndio wanatakiwa kupewa hivyo vitambulisho...........mtanzania anatakiwa kubaki na Passport,Leseni,Insurance kama kitambulisho chake...hatutakiwi kupewa vitambulisho........badala yake kama unauwezo wa kuchukua leseni ndio inakuwa kitambulisho au kama una passport...
  11. K

    Bunge lawaka moto: Lissu, Msigwa na Lema watolewa nje!

    Kisheria wanatakiwa watolewe, hiyo ni haki imetendeka kwao, kama waliona wanashindwa kuvumilia wangetoka kabla hawajatolewa........ndio maana kuna Speaker na Naibu wake.......Kazi yao ni kuliongoza Bunge sio kusikiliza tu...........
  12. K

    FULL TEXT: Hotuba ya Lema bungeni

    Mi nafikiri haina maana ya kujikusanya na kwenda kumpokea.......labda tu kwasbabu hatuna kazi za kufanya.........hayo ni mambo anayotakiwa kuyasema mara kwa mara na kuikosoa serikali na kuwakosowa wenzake pale wanapokosea ................NO BIG DEAL
  13. K

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Lowassa tunakuamini na tunakuhitaji. Tafadhali gombea urais 2015 ili serikalimakini inayowajibika kwa wananchi wake ipatikane. Tunakuombea ushinde. Achana na wahuni wa ccj maana tayari wana chama chao ccj.
  14. K

    Je mzee 6 anauchungu wa kweli na nchi au maslahi binafsi?

    Mimi sidhani kama anauchungu na nchi zaidi ya kujivalisha ngovi ya kondoo,nasema hvyo kwasababu 3 nazozifahamu,6 anakaa kwenye nyumba inayolipwa na ofisi ya spika dola elfu 8 kwa mwezi,na anaishi kwa kivuli cha kujipachika jina la spika mstaafu, huku aligombea akakosa nafasi, pili analipwa mafao...
  15. K

    Grand Theft: Vodacom, Airtel, Tigo, Zantel na Sasatel - Wanachochea ufisadi?

    Mi nachoona hapa nikuingilia biashara za watu...hata first world kama unatumia mtandao tofauti garama inakuwa mara 2 Same mtandao garama inakuwa cheaper ....huko USA kupokea tu simu haijafika 9:01 pm unachajiwa kama umepiga......nyie tanzania hamna hata Satalaiti Mtapataje huduma rahisi kuliko...
Back
Top Bottom