vitambulisho na leseni mpya za kisasa

watu wanatamani wakimbie bongo! hawa ndio wameomba uraia na kupewa !>. seriously! huyu mtu toka italy anaomba uraia wa bongo! sio bure!

a WAGENI HAPA TZ WANA OPPURTUNITIES NYINGI KULIKO WAZAWA. NDO SERA YA MAGAMBA HIYO.
 
nilishangaa jana kwenye taarifa ya habari ya TV leseni mpya itakua elf 40, cjui wenzangu is this price justifiable? au ndo mpango wa serikali ii vivu kutaka kujiongezea mapato? maana tunajua jinsi wasivyo wabunifu kutafuta pesa wanachojua ni kumkamua maskini tu! kilichonifanya niamini ni ishu ya pesa zaidi kwani kamisshna mkuu wa TRA alikua mbele kuliongelea ili suala kwenye media i thought lilikua zaidi suala la usalama barabarani kwa iyo polisi ndio wangekua mbele kulizungumzia!

Ulitaka iwe bure baba? Halafu ndo unajiita mjenga nchi na mzalendo?
 
kuna mambo mengine ni manufaa kwa taifa siyo kupiga kila kitu hata kama ni kizuri mimi naunga mkono
kuwa na vitambulisho vya taifa we ni taifa gani hawana vitambulisho unatambulika je kama wew ni mtanzania ?
jamani tuache unafiki vitambulisho ni muhimu sana ,

kikupacho raha na uchungu kitakupa
 
wakuu siamini kama inawezekana,hapa tunaangalia channel 10 je tutafika
mkurugenzi wa vitambulisho vya taifa anasema watu wote wanaoishi tanzania watapewa vitambulisho
awe mtanzania au mgeni
swala ni kwamba sijawahi kuona nchi yoyote duniani kufanya upumbavu kama huo
foreigner wote wanaoishi katika nchi wanapewa kitu kinaitwa permit
work permit, residence permit and so on
sasa hii ya watanzania kuwapa vitambulisho inamaanisha kwamba watanzania ni watu wenye upendo sana??
kwa nini tusifanya kama nchi zingine?

Hapana wamekosea.....Foreigner ndio wanatakiwa kupewa hivyo vitambulisho...........mtanzania anatakiwa kubaki na Passport,Leseni,Insurance
kama kitambulisho chake...hatutakiwi kupewa vitambulisho........badala yake kama unauwezo wa kuchukua leseni ndio inakuwa kitambulisho au kama una passport au kimoja kati ya hivyo vinatosha..........Foreingner wanatakiwa kuwa na Vitambulisho vya kuwaonyesha kuwa ni wageni nchini
 
Hapana wamekosea.....Foreigner ndio wanatakiwa kupewa hivyo vitambulisho...........mtanzania anatakiwa kubaki na Passport,Leseni,Insurance
kama kitambulisho chake...hatutakiwi kupewa vitambulisho........badala yake kama unauwezo wa kuchukua leseni ndio inakuwa kitambulisho au kama una passport au kimoja kati ya hivyo vinatosha..........Foreingner wanatakiwa kuwa na Vitambulisho vya kuwaonyesha kuwa ni wageni nchini
unakosea, tunahitaji vitambulisho tena vile ambavyo viko electronic kama ATM card. nilitembelea nchi fulani, watu wanavyo vya aina hii..vinatambulika katika database ya usalama wa taifa popote nchini wakiingiza kwenye mashine za wanausalama. ila lazima iwe electronic kama na kile kidude katikati kama cha line ya simcard.

tutakuwa na passport, tutakuwa na leseni (hizi mpya mimi ninayo hapa bongo, lakini hata pale kibaha kuna watu walikuwa wanatengeneza feki na zinafanana kabisa na hizi mpya),...hivyo leseni mpya zinachakachulika..tunataka vitambulisho visichakachulike kama zilivyo passport zetu...kuna wakenya na wasomali wana pass za tz....uchaguzi 2015 tutumie id card mpya, hapo hakuna kudanganyana..na tuwe na machine ambazo zitaitambua card, ikiwa imeunganishwa nchi nzima na kama mtu atapiga kura mara mbili machini imteme..iteme kadi yake....sasa sijui kama tutakuwa na pesa nyingi kiasi hicho....nafikiri tukiwa na card za aina hii twaweza kupiga kura sehemu yeyote ile, hata wanafunzi wa chuo wakienda likizo watapiga tu kura hukohuko hakuna haja ya daftari la kuhakiki. mambo ya kizamani kabisa haya.
 
Back
Top Bottom