Recent content by Kwato

  1. Kwato

    Ipi iliyokuvutia kati 1,2,3

    Namba 3
  2. Kwato

    Namtafakari Mh. Bernard Membe!

    Mi ntamuunga mkono kwani anaupeo mkubwa kuliko wengine wenye tamaa ya fedha walioanza kutoa rushwa kwa Wananchi
  3. Kwato

    Nishaurini jamani, nikitongoza sikosi!

    Acha kutongoza utakufa na gonjwa la ukimwi zinaa ni hatari Sana
  4. Kwato

    M4C-OPD: Dr. Slaa atikisa Makambako

    Hongera Dr
  5. Kwato

    Taaluma ya UDOM manufaa yake ni madogo sana kwa jamii

    Taalumaa ya Chuo kipi Ina manufaa kwa jamii ? Manufaa ya elimu ni kwa mwanafunzi mwenyewe vyuo vyote vya tanzsnia vinafana havina product bora
  6. Kwato

    Sex Partner

    Hutompata Kila mtu ana wake pole
  7. Kwato

    Nakumat yainunua Shoprite Tanzania

    Huyo anaesema jina halina tatizo kiutamaduni na desturi yetu Huyo Hana akili zilisawa na ni mjinga shule za kuiba mitihani na kudesa tu Ina maana wakiita seheme za sirii za mama yake anaona poa huo ni ukosefu wa akili Mamlaka husika Jamani sisi watanzania tunatofauti kubwa ya kidesturi na...
  8. Kwato

    alinikimbia na pesa zangu,amerudi tena!

    Huyo si mwaminifu anatawaliwa na tamaa
  9. Kwato

    Nataka kumsaliti mume wangu

    Akili mbele tamaa nyuma kumbuka kuna magonjwa Ambayo ni adhabi ya uzinzi
  10. Kwato

    Waraka wangu kwa viongozi, wanachama na wapenzi watukufu wa CHADEMA

    Watanzania naomba tuelewe mpasuko uliopo ni mkubwa Sana si Kama mnavofikiria kumbukeni zitto alivovuliwa tu nyazifa zake wenyeviti wangapii walijiuzulu mikoa ya kusini singida kigoma arusha kwenye ngome ya chadema nako kuna makundi mawili Hili kundi la zitto ni kubwa japo halijajitokeza...
  11. Kwato

    Lema yupo ITV Live

    Ana lalama tu kuhusu mabomu Mara ccm Hana hoja za kusaidia uchafu wa mitaa na shida za maji na umeme arusha barabara zimejaa vumbi tupu maeneo ya wanaomshabikia ndiko kumejaa vibaka na wasionakazi arusha Ina mateja na wazurulaji tu
  12. Kwato

    Lema yupo ITV Live

    Lema Hana jipya
  13. Kwato

    Mwakyembe atua Kia tar 8 na kuzungumza na uongozi wa kia

    Nini kilichojiri ni mpango wa tokomeza madawa ya kulevya nchini
  14. Kwato

    Ombi la Zitto kutembelea SAUT-Mwanza lakataliwa na uongozi wa tawi

    Kwani we nani unaekataa aside UDSM kwani ni ya wachaga au kanisa acha ujinga acha atueleze ufisadi wa wachaga na mipango ya kanisa dhidi ya nchi yetu tatizo la zzt ni Dini yake na anakotoka kumbuka Akina lema walivoeekwa na makanisa arusha na mipango yake kanisani unaijua mwacheni zzt bora cdm...
  15. Kwato

    Reginald Mengi ANENA -MABEGA YAMEWABEBA MSIYAKATE

    Hivi kwanini Itv waislam hawaruhusiwi kuvaa hijabu wala kofia Lakini Rosali sawa huyu mzee ni mdini na mbinafsi tena mbaguzi uhuru wa habari anaoupigania ni wa nini mbona uhuru wa kuabudu anawakandamiza wislam wachaga wana ubinafsi na ukabila Sana tutaona Kama watashika nji mwakani
Back
Top Bottom