Namtafakari Mh. Bernard Membe!

Namtafakari Mh. Bernard Membe!

Haya maajabu eti Membe hana kashfa!!
Kuna mwanaCCM yoyote Nguli anayetaka urais asiye na kashfa?

Kwa mfano kuhusu Membe:
1/Mahakama yetu ya Kadhi kwetu sisi waislam imeishia wapi? Misikitini tulimwona sana Membe akija kujipendekeza alipowekwa chini na 'Wagalatia' kupitia maaskofu wao, tukaona amenywea!!

2/Zile pesa alizohongwa(Alipewa?!) na Gadafi zilikuwa za nini na amezipeleka wapi? Si alisema Gadafi ni rafiki yake wa karibu na angemtumia kuwasadia wananchi wa Kusini, vipi zile Pesa?

3/Pesa za chenji ya Rada ziko wapi? Si alisema atakufa nazo, vipi mbona Kimya? Katulizwa? Hiyo Akaunti ya hizo pesa iko wapi? Mbona vitabu havipo mashuleni? Au Oxford wamegoma kuvichapisha?

4/Siasa za Misikitini na Fitna zake huku Lindi ameshaziacha, yeye kazi yake ni kununua mashekh ili wampigie makofi na kumsema vizuri huku Kusini ili iweje?

5/Membe ameshaacha Siasa za 'kichawi'(Fitna za CCM) tena kwa wanaCCM wenzake? Kwani alishamwomba msamaha Mudhihir, Hawa Ghasia nk? Mbunge wa jimbo la Mtama lakini kutwa anakesha kufitini wananchi wa jimbo la Nchinga, Lindi mjini nk.

6/Zile Pesa za mradi wa viwanda vya Saruji kule Kusini ziko wapi? Si alisema ni yeye mwenyewe pekee mwenye uwezo wa kuvijenga? Kwani amebadili mawazo au umezirudisha kwa wahisani au amezitoa sadaka kama anavyofanya Fisadi Lowassa makanisani na Misikitini kwa jina za marafiki zake?

7/Siasa za kutumia madhabahu za makanisa ameiga kutika Monduli au ni Original version yake? Akiwa rais ataacha au ataendeleza ili 'wagalatia' waendelee kuzugwa?

8/Ilikuwaje akabadili msimamo wa Gesi ya Mtwara na kuwasaliti wananchi wa kusini.
Mwanzoni walikuamini uliposema Gesi itabaki Mtwara lakini Mwishoni ukawageuka na kusema Gesi lazima iende Dar na Msoga ifike, ukawaacha wananchi wa Mtwara wakipata kichapo cha JWTZ, ulikaa kimya kama maji mtungi, vipi ni woga tu au ni zile Pesa kutoka China kwenye ile akaunti yetu kulee......

*Ni UCHAFU mtupu kwa mwanaCCM mwenye akili timamu kumshabikia Lowassa, Membe au Sitta ili awe mgombea urais wa CCM 2015.

Kwa namna hii kwenye hiki chama hata mtoto akiwa tumboni mwa mama yake tayari ameshakuwa fisadi.Hiki chama ni ufisadi na ufisadi ni chama.
 
Maccm yote majizi tu!

Tujitahidi kujadili na kuchangia hoja badala ya kukatisha kwa kusema hivyo. Tuwe na busara. Humu ndani ya jamvi hili hakuna mtu anayejua zaidi ya mwingine bali sote tunahitaji kuelimishana kwa manufaa ya nchi yetu.
 
Mkuu! Ukitaka kusikia tu kile unachopenda, sidhani hapa ndipo mahala pake. Karibu JF!
 
Haya maajabu eti Membe hana kashfa!!
Kuna mwanaCCM yoyote Nguli anayetaka urais asiye na kashfa?

Kwa mfano kuhusu Membe:
1/Mahakama yetu ya Kadhi kwetu sisi waislam imeishia wapi? Misikitini tulimwona sana Membe akija kujipendekeza alipowekwa chini na 'Wagalatia' kupitia maaskofu wao, tukaona amenywea!!

2/Zile pesa alizohongwa(Alipewa?!) na Gadafi zilikuwa za nini na amezipeleka wapi? Si alisema Gadafi ni rafiki yake wa karibu na angemtumia kuwasadia wananchi wa Kusini, vipi zile Pesa?

3/Pesa za chenji ya Rada ziko wapi? Si alisema atakufa nazo, vipi mbona Kimya? Katulizwa? Hiyo Akaunti ya hizo pesa iko wapi? Mbona vitabu havipo mashuleni? Au Oxford wamegoma kuvichapisha?

4/Siasa za Misikitini na Fitna zake huku Lindi ameshaziacha, yeye kazi yake ni kununua mashekh ili wampigie makofi na kumsema vizuri huku Kusini ili iweje?

5/Membe ameshaacha Siasa za 'kichawi'(Fitna za CCM) tena kwa wanaCCM wenzake? Kwani alishamwomba msamaha Mudhihir, Hawa Ghasia nk? Mbunge wa jimbo la Mtama lakini kutwa anakesha kufitini wananchi wa jimbo la Nchinga, Lindi mjini nk.

6/Zile Pesa za mradi wa viwanda vya Saruji kule Kusini ziko wapi? Si alisema ni yeye mwenyewe pekee mwenye uwezo wa kuvijenga? Kwani amebadili mawazo au umezirudisha kwa wahisani au amezitoa sadaka kama anavyofanya Fisadi Lowassa makanisani na Misikitini kwa jina za marafiki zake?

7/Siasa za kutumia madhabahu za makanisa ameiga kutika Monduli au ni Original version yake? Akiwa rais ataacha au ataendeleza ili 'wagalatia' waendelee kuzugwa?

8/Ilikuwaje akabadili msimamo wa Gesi ya Mtwara na kuwasaliti wananchi wa kusini.
Mwanzoni walikuamini uliposema Gesi itabaki Mtwara lakini Mwishoni ukawageuka na kusema Gesi lazima iende Dar na Msoga ifike, ukawaacha wananchi wa Mtwara wakipata kichapo cha JWTZ, ulikaa kimya kama maji mtungi, vipi ni woga tu au ni zile Pesa kutoka China kwenye ile akaunti yetu kulee......

*Ni UCHAFU mtupu kwa mwanaCCM mwenye akili timamu kumshabikia Lowassa, Membe au Sitta ili awe mgombea urais wa CCM 2015.

- Mbona ni kama uzushi wa mitaani maana maneno mazito kama haya unahitaji ushahidi mkuu au?

Le Mutuz
 
Nape, Membe na Samweli 6 hawa ni CCJ. Wapo CCM kulinda nyadhfa walizohongwa. Wangekua waadulifu wangetoka kama Mrema

Ni vizuri tuijadili hoja iliyoletwa mezani ambayo ni Membe. Nashangaa Nape na Mzee Sitta wanaingiaje ktk hoja hii? Tuwe tunafikiria kwanza kabla ya kufanya. Tunaweza kuonekana "wapumbavu" kabisa kumbe sio
 
By Zanzibar-ASP

Haya maajabu eti Membe hana kashfa!!

Kuna mwanaCCM yoyote Nguli anayetaka urais asiye na kashfa?

Kwa mfano kuhusu Membe:
1/Mahakama yetu ya Kadhi kwetu sisi waislam imeishia wapi? Misikitini tulimwona sana Membe akija kujipendekeza alipowekwa chini na 'Wagalatia' kupitia maaskofu wao, tukaona amenywea!!

2/Zile pesa alizohongwa(Alipewa?!) na Gadafi zilikuwa za nini na amezipeleka wapi? Si alisema Gadafi ni rafiki yake wa karibu na angemtumia kuwasadia wananchi wa Kusini, vipi zile Pesa?

3/Pesa za chenji ya Rada ziko wapi? Si alisema atakufa nazo, vipi mbona Kimya? Katulizwa? Hiyo Akaunti ya hizo pesa iko wapi? Mbona vitabu havipo mashuleni? Au Oxford wamegoma kuvichapisha?

4/Siasa za Misikitini na Fitna zake huku Lindi ameshaziacha, yeye kazi yake ni kununua mashekh ili wampigie makofi na kumsema vizuri huku Kusini ili iweje?

5/Membe ameshaacha Siasa za 'kichawi'(Fitna za CCM) tena kwa wanaCCM wenzake? Kwani alishamwomba msamaha Mudhihir, Hawa Ghasia nk? Mbunge wa jimbo la Mtama lakini kutwa anakesha kufitini wananchi wa jimbo la Nchinga, Lindi mjini nk.

6/Zile Pesa za mradi wa viwanda vya Saruji kule Kusini ziko wapi? Si alisema ni yeye mwenyewe pekee mwenye uwezo wa kuvijenga? Kwani amebadili mawazo au umezirudisha kwa wahisani au amezitoa sadaka kama anavyofanya Fisadi Lowassa makanisani na Misikitini kwa jina za marafiki zake?

7/Siasa za kutumia madhabahu za makanisa ameiga kutika Monduli au ni Original version yake? Akiwa rais ataacha au ataendeleza ili 'wagalatia' waendelee kuzugwa?

8/Ilikuwaje akabadili msimamo wa Gesi ya Mtwara na kuwasaliti wananchi wa kusini.
Mwanzoni walikuamini uliposema Gesi itabaki Mtwara lakini Mwishoni ukawageuka na kusema Gesi lazima iende Dar na Msoga ifike, ukawaacha wananchi wa Mtwara wakipata kichapo cha JWTZ, ulikaa kimya kama maji mtungi, vipi ni woga tu au ni zile Pesa kutoka China kwenye ile akaunti yetu kulee......

*Ni UCHAFU mtupu kwa mwanaCCM mwenye akili timamu kumshabikia Lowassa, Membe au Sitta ili awe mgombea urais wa CCM 2015.

HII INAONESHA NI KIASI GANI WATANZANIA TUMEKUWA WATU WA KUBURUZWA KTK KUFANYA MAAMUZI. HIVI HAYO UNAYOSEMA UNA UHAKIKA NAYO??? MMMMMHH... AIBU KUBWA HII.
 
- Mbona ni kama uzushi wa mitaani maana maneno mazito kama haya unahitaji ushahidi mkuu au?

Le Mutuz

Nakubaliana nawe vizuri sana. Jamaa anasema kama kweli. Hii ndio akili ya watu wanaojifanya wanajua mambo. Its a shame...
 
Mi ntamuunga mkono kwani anaupeo mkubwa kuliko wengine wenye tamaa ya fedha walioanza kutoa rushwa kwa Wananchi
 
Inahitaji akili za Mwendawazimu kwa mwanaCCM yoyote kuweza kumuunga mkono Membe kwenye mbio za urais ndani ya CCM.

Hizi hapa chini ni baadhi ya kauli mbovu(Chafu, tata!?) za Membe
tena hadharani:

1/''Nina maadui watatu hapa Tanzania, wawili kati yao ni Waandishi wa Habari, lakini ikifika 2016 watakimbilia Kenya'' (Source: ITV, Kipindi cha Dk 45, mwaka 2012).
Kilichofuata ni Kubanda Kuteswa na TISS?! na Mheshimiwa kuhusishwa.

2/''Umaskini wa Mikoa ya kusini ni matokeo ya ukandamizaji kutoka kwa watu wa Kaskazini''
(Source:Vyombo mbalimbali vya Habari, wakati wa Mbio za Mwenge mkoani Mtwara 2012)

3/''Ziwa Nyasa linapakana na nchi mbili tu, Malawi na Tanzania hivyo mgawanyo ni Fifty Fifty!!
(Source:Hansard za Bunge September 2012).
Yaani Membe hajui hata Msumbiji Pia wanapakana na hilo ziwa Nyasa, Hii ilipelekea Malawi, Msumbiji na Nchi za ulaya kutudharau sana, yaani Rais wa Bongo ni boga na Foreign Affair Minister wake ni Ndimu iliyokauka.

*Kifupi Membe ni 'Immature Politician'. Bora hata huyu Checkbob wa Msoga tuliyenaye sasa kuliko hichi kidubwacha.
 
- Mbona ni kama uzushi wa mitaani maana maneno mazito kama haya unahitaji ushahidi mkuu au?

Le Mutuz
@Le Mutuz sina muda wa kumzushia mtu humu JF, niliyoyaandika watu wengi wanayafahamu hususani watu wa Kusini na Waislam.
Sio siri ni wazi Membe ni mchafu pia tena sana. Hilo kwa wanaCCM nguli sio tatizo bali tatizo baya na kubwa la Membe ni Mnafiki, Msaliti na Mfitini sana.

Nimechukizwa sana na Kitendo cha Mleta Mada kuja humu JF na kudai Membe hana Kashfa!!
 
Zanzibar-ASP kwa maana hiyo ccm mpaka sasa hawana mtu wa kugombea uraisi?
 
Last edited by a moderator:

hmjamii huenda labda sijakuelewa vizuri, unamaanisha mtu mwenye sifa nzuri za kugombea urais au mtu wa kugombea urais kwa tiketi ya CCM?

Kama ni mtu mwenye sifa nzuri basi wapo wengi ila hawafahamiki na hawawezi kupitishwa na CCM.
Why? Mfumo wa sasa wa CCM haumwezi kamwe kumpitisha mtu mwenye sifa njema, na hata kama atakuwa na sifa njema basi mfumo wa sasa wa CCM utamuharibu pia tena haraka sana.

My Point ni kwamba miongoni mwa hawa Nguli watatu wa CCM(Lowassa, Membe, Sitta) hakuna mwenye sifa njema.

*SIFA NJEMA namaanisha
1/Dhamira njema(Katika kuwatumia wananchi).
2/Uaminifu wa kisiasa.
3/Uwajibikaji(Kwa wananchi wanaomchagua)
4/Ujasiri (Katika kupambana na maovu)
5/Uchungu wa nchi yetu.
 
Last edited by a moderator:
@Le Mutuz sina muda wa kumzushia mtu humu JF, niliyoyaandika watu wengi wanayafahamu hususani watu wa Kusini na Waislam.
Sio siri ni wazi Membe ni mchafu pia tena sana. Hilo kwa wanaCCM nguli sio tatizo bali tatizo baya na kubwa la Membe ni Mnafiki, Msaliti na Mfitini sana.

Nimechukizwa sana na Kitendo cha Mleta Mada kuja humu JF na kudai Membe hana Kashfa!!

Nakubaliana nawe kwamba wote wanaomfahamu kitabia ni mnafiki,mfitini na msaliti!
 
hmjamii huenda labda sijakuelewa vizuri, unamaanisha mtu mwenye sifa nzuri za kugombea urais au mtu wa kugombea urais kwa tiketi ya CCM?

Kama ni mtu mwenye sifa nzuri basi wapo wengi ila hawafahamiki na hawawezi kupitishwa na CCM.
Why? Mfumo wa sasa wa CCM haumwezi kamwe kumpitisha mtu mwenye sifa njema, na hata kama atakuwa na sifa njema basi mfumo wa sasa wa CCM utamuharibu pia tena haraka sana.

My Point ni kwamba miongoni mwa hawa Nguli watatu wa CCM(Lowassa, Membe, Sitta) hakuna mwenye sifa njema.

*SIFA NJEMA namaanisha
1/Dhamira njema(Katika kuwatumia wananchi).
2/Uaminifu wa kisiasa.
3/Uwajibikaji(Kwa wananchi wanaomchagua)
4/Ujasiri (Katika kupambana na maovu)
5/Uchungu wa nchi yetu.

Bila shaka utakuwa unamaanisha mgombea wa ccm atatoka katika hao watatu uliowataja kama nimekuelewa vizuri sio? Maana wenye sifa hawezi kupewa nafasi kwa mujibu wa melezo yako
 
Last edited by a moderator:
Unataka tukupe sifa gani zaidi ya ulizozieleza hapa..? hata tukikupa kashfa yeyote aliyonayo au udhaifu alionao haitabadilisha mawazo yako ulionayo kwake nyinyi subirini muoteshwe ( kama anavyodai mhe membe) 2015 sio mbali tena mkuu.
 
Sifa yake kubwa ni kusema asiyoyaamini na kutenda kinyume na ahadi zake. Ni mtu asiyejua kutimiza ahadi.Watanzania tukimchagua tujitayarishe kudanganywa naye.
 
Wakuu umofia kwenu...................!

Miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini wanaotajwa tajwa kwamba huenda wakajitokeza na pengine kupitishwa kugombe nafasi ya Urais wa nchi hii, ni pamoja na Waziri wa mambo ya nje Mh. Bernard Membe.Ijapokuwa mwenyewe hajatangaza nia, ila zipo dalili kwamba huenda akaishika njia hiyo!.

Binafsi si mfahamu sana Mh.Membe. Ninachojua tu ni kwamba ni waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, wizara ambayo ameweza kuiendesha kwa umahiri na busara kweli kweli!.Ninachojua ni kwamba Mh.Membe ni mwanadiplomasia,tena mwanadiplomasia mahiri na hata tabia yake inamtambulisha hivyo.Ni mtu mtaratibu mwenye busara, busara ambayo ameidhihirisha wazi katika kushughulikia misuguano kadhaa kati ya Tanzania na nchi nyingine.Zaid ya hapo, binafsi simjui sana mwanasiasa huyu.

Ningependa kufahamu yafuatayo kutoka kwa wadau.

1. Je! Mh. Membe ana kashfa yeyote ya ufisadi?

2. je! ana kashfa yeyote katika suala la maadili ya uongozi?

3. Je! ana kashifa yoyote ya kijamii?

Kama hayo yote hana, ningependa kujua historia yake ya kiuongozi pamoja na elimu yake.

Ninachojaribu kuwaza ni kwamba, ikiwa CCM, Watampitisha mwanasiasa ambaye ni msafi na hana kashfa,mwanasiasa mwenye elimu nzuri, upeo mpana, na uzoefu wa uongozi, basi huenda uchaguzi wa 2015 ukapendeza sana sana! Mara huku kasimma Zitto, Mara kule kasima Membe au sijui nani......!.mara kule kasima yule! Basi tutarajie kuona mijadala mikali kwenye TV n.k, mijadala itakayojikita juu ya uchumi, masuala ya kijamii na masuala ya kimataifa ambayo itakuwa inatawaliwa na weledi mkubwa kulingana na upeo wa wahusika. Hii itakuwa ni bora kuliko kusikia siasa za mipasho mara fulani kahongwa na fulani, mara fulani kafanya vile, mara......!: siasa ambazo kwa sasa hazina tija tena.
ukishamaliza UCHUNGUZ lala ukiamka utamkuta EL 2015 yuko IKULU!
 
Back
Top Bottom