mtaje jina na mkoa ili asije tapeli wengine
Kama umeamua kumpa mpe ila mwambie alivyokukimbia na hela yako hukupenda ili ajue
kakuona we boya!
Huyo si mwaminifu anatawaliwa na tamaa
Huwa tunajifunza kupitia makosa, wewe hijifunza kupitia nini?
Hakuna kumkopesha huyo tapeli mkubwa alivyokutapeli alifikiri ndio shida zimeisha? Wapo watu wengi sana wa tabia hii ambayo inakera na ni mbaya. Heri mtu aseme naomba utamfikiria cha kumpa kulikoni anajifanya anakopa atarusisha unakuwa na matumaini kumbe moyoni amepanga kudhulumu. Pole sana
Acha uzembe kaka nenda katoe sadaka au kasaidie yatima kuliko kupotez pesa tena kwa mtu ambaye unamfahamu vizuri
Ashaona mteremko kwako
Duh poa tu ndo umeamua kuja nijadili huku wakati umenijibu utanicheki bdae poa tu
Kwenye hiyo avatar, huyo ni wewe?
Msalimie huyo rafiki yako, ana akili ya mjini sana.