Nataka kumsaliti mume wangu

Nataka kumsaliti mume wangu

Umeyataka mwenyewe si mnasemaga vijana wasumbubufu na wazee wanajua kuliwaza na kubembeleza. Endelea na huyo mzee wako
 
Huu Mziki upo ht kwa walioolew na vibabu vya kizungu
muwe mnajifunza kazi kukimbilia vibabu mnaishia mapenzi ya kulambwalambwa kwa umri wako ni critical point ya kuinjoy malavdav sasa kwa huo mpango wako jamaa akigundua anaondoka na shingo yako hatari
 
Miaka 49 vs 26!!!! Pole sana. Akifikisha 55 vs 32 wewe utakuwa hot kishenzi na jamaa kama mwendo ni huu kwa sasa (kama hana hawara sasa) basi utakaa mwaka hujaiona. Umru ni kugezo muhimu sana kuangalua katika ndoa. Nakuhakikishia huna ujanja kiserengeti ni lazima ukishakubali kuolewa na baba yako . At his 23rd birthday angeweza kukuzaa!!!!!
 
Ulilazimishwa kuolewa nae??? Au ulikimbilia hela na gari hilo ambapo kila siku anakupitia kazini,ww inabidi uwe mfano mzuri kwa wanawake wenzako ambao mnafikiri mapenzi ni pesa na misemo yenu eti age is just a number haya jigeuze sasa hiyo 26 yako iwe 62.
 
muwe mnajifunza kazi kukimbilia vibabu mnaishia mapenzi ya kulambwalambwa kwa umri wako ni critical point ya kuinjoy malavdav sasa kwa huo mpango wako jamaa akigundua anaondoka na shingo yako hatari
sijui yy anafikiri atamsaliti mara moja alafu aridhike kumbe kesho na kesho kutwa atataka tena hahaha imekula kwake awe ambasador tu kwa vigori wenzake wanaokimbilia mababu.
 
Kwa hiyo una listi ya watu watatu , kwa hiyo unahitaji tukuchagulie katika hao watatu au unahitaji kupata nje ya hao watatu?

inaonekana alitangaza tender sasa watu wameapply ndio amewashortlist hao watatu,mmoja mwenye bahati atapata kazi ya kutoa huduma kwake.
 
mkubalie tu huyo wa nje lakini OLE WAKO AWE MUME WANGU
 
Akili mbele tamaa nyuma kumbuka kuna magonjwa Ambayo ni adhabi ya uzinzi
 
Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia

kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani

nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi

naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi

Kama kweli wewe ni mrembo kihivyo nitafute basi, nina zawadi yako.
 
Utaolewaje na baba yako#
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom