ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Ahaaa ahhhhaaa...uzee aliucha chalinze nn?Acheni kupakazia watu. Aliyekuambia Dogo Mengi ni mzee ni nani ? Hapo alipo hana mvi wala mjukuu ana watoto hata nursery hawajaanza. Acha kutusi watu.

Mabega maana yake ni WANANCHI waliowachagua viongozi
Hapana, ni ITV ilivyotumiwa na CCM kuwatisha wananchi kuwaonesha mauwaji ya Rwanda ili CCM kwa hofu ya kutokea vita.
Mwakani akigeukia upande wa pili mtatafutana. ITV ndio television ya Taifa.
mkuu ITV ndio yenyewe, yani kwa bongo ndio kila kitu....
Mabega maana yake ni WANANCHI waliowachagua viongozi
Huyu mzee naye mimi siku hizi sitaki hata kumuona tangu alazimishe eti yeye apewe vitaru vya gesi yeye binafsi badala ya watanzania wote nilimtoa thamani kabisa.
Hivi kwanini Itv waislam hawaruhusiwi kuvaa hijabu wala kofia Lakini Rosali sawa huyu mzee ni mdini na mbinafsi tena mbaguzi uhuru wa habari anaoupigania ni wa nini mbona uhuru wa kuabudu anawakandamiza wislam wachaga wana ubinafsi na ukabila Sana tutaona Kama watashika nji mwakani

mimi kaniudhi sana kwenye mambo flani ya kijamii kanifanyia basi tu uwezo sina ..
Hivi kwanini Itv waislam hawaruhusiwi kuvaa hijabu wala kofia Lakini Rosali sawa huyu mzee ni mdini na mbinafsi tena mbaguzi uhuru wa habari anaoupigania ni wa nini mbona uhuru wa kuabudu anawakandamiza wislam wachaga wana ubinafsi na ukabila Sana tutaona Kama watashika nji mwakani
...wewe ndiye mdini! nenda OilCom ukaone udini ulivyo..., kupata kazi pale mpaka uwe unaitwa Omari au Mwajuma! "akina John na Joseph hawatakiwi kule!Hivi kwanini Itv waislam hawaruhusiwi kuvaa hijabu wala kofia Lakini Rosali sawa huyu mzee ni mdini na mbinafsi tena mbaguzi uhuru wa habari anaoupigania ni wa nini mbona uhuru wa kuabudu anawakandamiza wislam wachaga wana ubinafsi na ukabila Sana tutaona Kama watashika nji mwakani
Reginald Mengi
Wanasiasa msisahau mabega yaliyowafikisha hapo juu mlipo. Siku moja mtayahitaji tena ili mshuke salama.Wengi mnasahau mlikotoka
Source Facebook wall ya Mengi
mkuu ITV ndio yenyewe, yani kwa bongo ndio kila kitu....
Hivi kwanini Itv waislam hawaruhusiwi kuvaa hijabu wala kofia Lakini Rosali sawa huyu mzee ni mdini na mbinafsi tena mbaguzi uhuru wa habari anaoupigania ni wa nini mbona uhuru wa kuabudu anawakandamiza wislam wachaga wana ubinafsi na ukabila Sana tutaona Kama watashika nji mwakani
Ni Bora IPP Mkuu Ila Pale Azam Bakhresa Usipokuwa Wa Dini Yetu Kupata Ajira Shidah, Alafu Ndani Ya Kiwanda Kuna Msikiti Wabaguzi Kama Nini