Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,506
- 272,187
tunashukuru sana kwa habari hii , tutahakikisha magamba yote yanababuka yenyewe !
unatumia makamasi wewe kufikiri si bure
AllyRemtullar, ndo nani mkuu hebu nieleweshe. naona unajua zaidi juu ya uhusiano wa huyu jamaa na mimi.wewe kweli Abunuas sishangai kwa vile unatoka Ukoo mmoja na AllyRemtullar
Kweli we abunuas....akl kdogo nguv nying...target ni watu wackie ufedhuli wa srkl dhaifu ya ccm na vibaraka uchwara ka we we!!!naona watu wako bize kushangaa chopa. du!
naona watu wako bize kushangaa chopa. du!
nashukuru umekubali kuwa wengi wamekuja kushangaa chopa ili muonekane mnapendwa. keep going.....Kweli we abunuas....akl kdogo nguv nying...target ni watu wackie ufedhuli wa srkl dhaifu ya ccm na vibaraka uchwara ka we we!!!
hata ningekuwa mimi ningeenda kushangaa chopa. ila kura yangu ni suala lingine kabisa.mkuu uwanja ulikuwa hauna watu kabisa.chopa ilivyotokea tu watoto na wapiga debe wakaanza kushangilia chopaa..chopaa..chopaaa uwanja ukajaa ghafla ha ha ha hiyo ni makambako na njombe leo..maana hakuna uwanja wa ndege..hata ndege kuiona angani ni nadra sana...!
Kwenu mnamiliki chopa/ ndege nini, hapa mjini kwetu hatuna hata kiwanja cha ndege wala hamna watu wanao miliki chopa, ikitokea chopa kila mtu macho juu na kuikimbilia, na wengine hadi wanagongana 7bu wakati wanaikimbilia chopa wanakuwa wameangalia juu, hongereni nyie mnao miliki chopa/ndege maana hamshangai kama sisi huku.
hata ningekuwa mimi ningeenda kushangaa chopa. ila kura yangu ni suala lingine kabisa.
haya nenda kalewe mbegeacha kujifariji mbulura wewe!!!