Recent content by kwalakamu

  1. kwalakamu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Israel ni Taifa dogo ila linaheshimika na kuogopeka?

    Ni kweli kabisa mkuu,watu wengine humu wanaandika ilibwaonekane ila kichwani wana akili za kuku,hawafikiri kabisaa. Wanamgambo wakutoe kamasi? Israel si lolote si chochote.
  2. kwalakamu

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa milioni moja kama mkono wa pole kwa ndugu wote waliopoteza wapendwa wao

    Sio kumpigia debe,no kuzungumza ukweli. Sas kama kuzungumza ukweli ni kimpigia mtu debe,utakua uko sahihi
  3. kwalakamu

    JamiiForums Tanzania Picha: Mamia ya jeshi la Israel latekwa

    "Jesus is the Lord"
  4. kwalakamu

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

    Kila la kheri,kila kitu ni mipango ya Mwenyezi
  5. kwalakamu

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Mm mibono iliniponyesha maumivu ya mgongo,nilichuliwa na majani ya mbono yaliyopashwa moto na nikapona kabisa.Nilikua na maumivu makali sana.
  6. kwalakamu

    JamiiForums Tanzania Hamas Wameteka na Kuua Watanzania, Serikali Kimya

    Serikali ya kibaguzi na kigaidi ya Israel wamethibitisha wao ni Magaidi.
  7. kwalakamu

    JamiiForums Tanzania Hamas Wameteka na Kuua Watanzania, Serikali Kimya

    Ni ajabu kwamba anayepigania uhuru wa nchi yake na haki ya wananchi wake anaitwa gaidi!!! Nchi za magharibi zimefaulu sana kuwahadaa watu kwamba maadui wao ni magaidi,na ww ni mmoja wao.
  8. kwalakamu

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

    Ni huyo huyo "mnyaazi" anayekupa pumzi ya kumtukana na kumvunjia heshima. Kwann huupi Uislam heshima kama mm ninavyoupa heshima Ukristu.???
  9. kwalakamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Naona wakala wa shetani yuko kazini. Ni nguvu za giza dhidi ya nguvu za Mwenyezi Mungu. Na unajua nani atashinda? Bado kidogo mtajua
  10. kwalakamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Naona wakala wa shetani yuko kazini. Ni nguvu za giza dhidi ya nguvu za Mwenyezi Mungu. Na unajua nani atashinda? Bado kidogo mtajua
  11. kwalakamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Mwanamke akipiga tu simu kuna jambo analitaka

    Ameshajua udhaifu wako ndiyo maana huchomoki jomba, usione soo sema nae au uvumilie
  12. kwalakamu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hawezi kufanya ‘effective reforms’ kwa sababu anautaka Urais

    Mimi siku zoye huwa nashangaa sana sisi Watanzania tunataka tuongozwe na nani. Tatizo la nchi hii ni sisi Watanzania wenyewe. Siyo la Mh. Samia, Mh.Magufuli au Mh. Kikwete. Kinachotusumbua sisi ni WOGA.Tunataka maisha mazuri lkn hatuko tayari kuyapigania. Na wenye nchi wameshatujua...
  13. kwalakamu

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Makka kumpiga mawe Shetani!

    Kuna mambo ya kisiasa na mambo ya kidini katka al Saud dynasty. Usichanganye mkuu
Back
Top Bottom