Huyu Mwanamke akipiga tu simu kuna jambo analitaka

Inasikisitisa sana. Uyu Mwanamke anajuwa namupenda sana. Akija dukani kangu atachukuwa guo na viatu kadhaa alafu atapotea kama wiki mbili.

Akija piga tena simu anataka kitu au pesa. Nikimusalimia tu ataomba na 20,000 ya vocha nikimsalimia tu anaomba kitimoto mimi kwanni sipat msichana mwenye mapezi nami nikafuraia mapezi?

Inaumiza sana haya maisha mtu unawaza kutafutaa pesa na unawaza tena kutumia au mapezi

Unatombo la zambe unamupa mahela lakini yeye hakupi mautelezi
 
Ameshajua udhaifu wako ndiyo maana huchomoki jomba, usione soo sema nae au uvumilie
 
Piga chini huyo mchunaji. Hivi mnakuwa mmerogwa au?
 
Inasikisitisa sana. Uyu Mwanamke anajuwa namupenda sana. Akija dukani kangu atachukuwa guo na viatu kadhaa alafu atapotea kama wiki mbili.

Akija piga tena simu anataka kitu au pesa. Nikimusalimia tu ataomba na 20,000 ya vocha nikimsalimia tu anaomba kitimoto mimi kwanni sipat msichana mwenye mapezi nami nikafuraia mapezi?

Inaumiza sana haya maisha mtu unawaza kutafutaa pesa na unawaza tena kutumia au mapezi
Pole Sana ila ukue kiakili... Usijipe umuhimu kwa mtu asiyetambua thamani ya upendo wako.
 
Inasikisitisa sana. Uyu Mwanamke anajua nampenda sana. Akija dukani kwangu atachukua nguo na viatu kadhaa alafu atapotea kama wiki mbili.

Akija piga tena simu anataka kitu au pesa. Nikimsalimia tu ataomba na 20,000 ya vocha nikimsalimia tu anaomba kitimoto mimi kwanini sipati msichana mwenye mapezi nami nikafuraia mapezi?

Inaumiza sana haya maisha mtu unawaza kutafutaa pesa na unawaza tena kutumia au mapezi
Ninakushangaa TU Wewe Mwenyewe. Yaani Unashindwa kumdhibiti Tapeli huyo wa Mapenzi?
Usilalamike
Uwezo unao wa Kuondokana naye.
 
Eti unampenda sana?

Basi, penda na kumpa kila kitu.

Huyo HAKUFAI! PIGA CHINI
 
Inasikisitisa sana. Uyu Mwanamke anajua nampenda sana. Akija dukani kwangu atachukua nguo na viatu kadhaa alafu atapotea kama wiki mbili.

Akija piga tena simu anataka kitu au pesa. Nikimsalimia tu ataomba na 20,000 ya vocha nikimsalimia tu anaomba kitimoto mimi kwanini sipati msichana mwenye mapezi nami nikafuraia mapezi?

Inaumiza sana haya maisha mtu unawaza kutafutaa pesa na unawaza tena kutumia au mapezi
Mapezi katafute kwa samaki.

Binadamu Wana mapenzi tu, Tena siku hizi mapenzi ya pesa ndio wanayapa kipaumbele.
 
Inasikisitisa sana. Uyu Mwanamke anajua nampenda sana. Akija dukani kwangu atachukua nguo na viatu kadhaa alafu atapotea kama wiki mbili.

Akija piga tena simu anataka kitu au pesa. Nikimsalimia tu ataomba na 20,000 ya vocha nikimsalimia tu anaomba kitimoto mimi kwanini sipati msichana mwenye mapezi nami nikafuraia mapezi?

Inaumiza sana haya maisha mtu unawaza kutafutaa pesa na unawaza tena kutumia au mapezi
Mkuu unatakiwa uwe nao wanawake zaidi ya watatu ili apatikane mmoja akupendae bila hiyo utapoteza pesa

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Ulianza kwa gia ya mijihela acha wakuunyooshe tu hamna namna
 
Mkuu huyo hakupendi bali kakufanya bwege wa shida zake piga chini.
 
Back
Top Bottom