Picha: Mamia ya jeshi la Israel latekwa

Picha: Mamia ya jeshi la Israel latekwa

Tumia akili na sio kuropoka kama Mjane,watu wanawalaumu hao mabwana zako kwa kuua wanawake na watoto.
Mkuu ongeza IQ kidogo utajua nimemaanisha mini. Mimi nimemwongeza maili moja au kumgeuzia shavu la pili mleta post niliemjibu ili aendelee kuamini upuuzi wake. Siungi mkono huo ufilauni wao. Soma majibu yangu yote hapo juu.
 
Nimemsaidia picha hiyo hapo.
IMG_20231207_203425_225.jpg
 
Ukweli Ni huu
 
Attachments

  • FB_IMG_17019834584285054.jpg
    FB_IMG_17019834584285054.jpg
    333.8 KB · Views: 9
  • FB_IMG_17019834514160208.jpg
    FB_IMG_17019834514160208.jpg
    263.3 KB · Views: 9
Hao sio Hamas,wamekamata raia waliokua wamewekwa kwenye eneo lenye usalama,wamekamata mpaka waandishi wa habari na kuwavua mashati ila hiyo haizuwii kichapo toka kwa Hamas.
Dunia nzima inawacheka Israel kutafuta ushindi wa uwongo hata US kwa mara ya kwanza wananza kugombana wasipeleka msaada wa mashoga zao Israel, karibu US atamkimbia Muisrael hali imekuwa mbaya upande wake anapokea vipigo kutoka Iraq, Syria, Yemen na bado ataona jua linatokea magharibi linazama mashariki 😄

Adiosamigo nyie ni wajinga mnavopelekewa moto gaza, endeleeni kujifariji dunia imewapuuza
 
Hao sio Hamas,wamekamata raia waliokua wamewekwa kwenye eneo lenye usalama,wamekamata mpaka waandishi wa habari na kuwavua mashati ila hiyo haizuwii kichapo toka kwa Hamas.
HAMAS wanajichanganya na raia, wakizidiwa wanavaa kiraia
 
Sasa HAMAS si wawepo front kuwatetea hao akina mama na watoto badala ya kujificha.
Haya maneno ulitakiwa uwape waisrael wenzako kua kwanini hawawezi kupigana na Hamas bila msaada wa jeshi la USA na mataifa ya Europe? Kwanini wasingeingia Gaza peke yao?

Kingine waulize hao wayahudi wenzako,kwanini wasiwaokoe hao mateka wao na wanajeshi wao waliotekwa?
 
Back
Top Bottom