Recent content by KWA MSISI

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uso kwa uso na mke wa rafiki yangu gesti

    1.aisee mrudishie pesa zake 2.muheshimu kama shemeji yako,hivyo basi huwezi tembea naye. 3.mwambie hutamwambia rafiki yako ambaye ni mume wake 4.mwambie asirudie tena 5.nawewe acha uzinzi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ibadili taasisi zifutazo kuwa vyuo vikuu

    Masters na post unamaanisha nini?kwa uelewa wako masters siyo post!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Shemeji haeleweki jamani!

    Nimekushitukia hakuna cha rafiki yako wala nini!hii story inakuhusu wewe mwenyewe!pole huyo ni mume wa mtu!!imekula kwako!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Arusha mkoje?

    Kuna uwezekano mkubwa kwa ajili ya ugomvi wa wazazi hawa, mama kaamua kumchafua baba,ni simple mother kum-feed information za uongo mtoto kwa ajili ya kummaliza baba.believe me kunauwezekano huyo mtoto hajabakwa!chezea mtoto wa kike weye!hasa mkitofautiana!
  5. K

    JamiiForums Tanzania ada za udsm postgraduate na masters zapaa juu maradufu!

    tuition fee 1.pgd=fee ni kati ya tsh 3,250,000/= na 4,250,000/= inategemea ni course gani 2.masters (18 months) ni kati ya tsh 4,875,000/= na tsh 6,375,000/= depends on the course 3.masters (24 months) ni kati ya tsh 6,500,000/= na 8,500,000/= depends on the course nina-admission ya master of...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Watangazaji Redio UHURU na Gazeti la UHURU hawajalipwa Mishahara ya mwezi wa 7 mpaka leo...

    Kiongozi mbona mwisho wa mwezi bado?leo ndo kwanza tarehe 16.7.2013!au nyie mnapokea mshahara tarehe ngapi?
  7. K

    JamiiForums Tanzania ACCA center DSM

    Kwa anayefahamu naomba pia ajibu center za Certified Internal Auditor pia kwa DSM.Na je Internal Auditor General huwa anadhamini watumishi wa umma.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tutarajie haya baada ya kikao cha cc ya CCM

    Na kama CC ya CCM ikipinga hayo mambo uliyoyaorozesha na ammbayo hujayaorozesha huo utakuwa ni mtaji mkubwa wa kisiasa kwa CHADEMA kwenye majukwaa ya siasa,tusubiri maamuzi yao tuone!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Dr Asha Rose Migiro yu wapi ?

    Pia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla na Hoja ya Kutafuta Umaarufu wa Kisiasa Kupitia Kupanda Bajaj ama Bodaboda!

    HKigwangalla Toka Metro kwenda NBC ni jirani mno wala mtu auhitaji usafiri ili kufika kwenye ATM.Infact ukiwa Metro unaiona NBC bank na ATM mashine zipo hapo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania This is my future house...Whats yours?

    Anzisha kanisa kama la Getrude Rwakatare au Antony Lusekero,hapo utakuwa na uhakika wa kujenga hilo hekalu.By the way muulize mchungaji huyo mama hekalu lake la kule mbezi beach alitumia shilingi ngapi (window shopping)?.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ahsanteni sana Marando, Prof. Safari kwa kutuonyesha undani wa Chadema

    Job true true!!haeleweki hata kidogo!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi wa kiume

    Unaishi mji gani?let me know please before accepting an offer!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Lema katutapeli shamba aliloomba kwa ajili ya kujenga hospital ya wazazi

    Nachukulia kama umbea wowote ule "unless otherwise proved beyond no dought"
  15. K

    JamiiForums Tanzania Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    Ni ofisa wa usalama wa taifa.
Back
Top Bottom