Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,644
- Thread starter
- #181
Ha ha haaa!!! Acha utani mkuu.
Ni nyumba nzuri lakini unahitaji kuwa fisadi ili uweze kujenga nyumba ya namna hii.
Ha ha haaaa!!! Itajengwa tu mkuu hata kama ikiwa bilioni 100...Maana waswahili wanasema kipandacho roho....
Day dreamers!.
Anzisha kanisa kama la Getrude Rwakatare au Antony Lusekero,hapo utakuwa na uhakika wa kujenga hilo hekalu.By the way muulize mchungaji huyo mama hekalu lake la kule mbezi beach alitumia shilingi ngapi (window shopping)?.
It depends on da nature of ur dream,dreaming while sleeping , dreaming while walking ,dreaming when ur hungry ,dreaming when ur jealous ,dreaming when ur full .so which one is yours?.
Una mpango wa kwenda Peponi kweli wewe!!!??? nadhani utaahirisha hata kama ukipewa nafasi ya upendeleo
Mkuu mjengo ni mkali sana isipokuwa wasiwasi wangu ni nguvu ya ndoto yako kwenye huo mjengo halafu ndio Mungu akudondoshee bahati ya mtende MSAFIRI ghafla aamke asubuhi halafu aamue kufanya mabadiliko pale BOT halafu wewe ndio uwe Governor!!!! Mamamamake. yanaweza kutokea ya DAUDI.
Utajenga. Je Unao undugu na Lowassa? au wewe ndiye Ridhiwani wa mkwanja?
Dogo amka mchana sasa,wenzako wote wako barabarani na vyeti vyao vya chuo, wanazungukia vbarua!,naona una confidence mno na haya maisha, au ndio walewale waliotayarishiwa na washua,isije ikawa mapovu yanatutoka kumbe mwenzetu baba amekwambia lete mchoro nikuandalie ya kwako.
Ha ha haaa!!! None of the above mkuu.