Recent content by kurutuWAdemo

  1. kurutuWAdemo

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    sasa hao jeshi inakuwaje wanaomaliza mwka huu matokeo si mwakan ..........!!so hyo mbna kama haiwahusu
  2. kurutuWAdemo

    Kero kumi za Usafiri wa Mwendokas DSM

    Hahahahaha...mkuu hyo kero namba 8 inakuwajekuwaje
  3. kurutuWAdemo

    Msaada wa kozi gani ya kuomba

    Apply mwaka utapta mzee.......bongo nyoso
  4. kurutuWAdemo

    njooni tushee kidogo hili ishu,,

    Mungu au MUNGU inawakilisha heaven Father[emoji818] mungu inawakilisha devils[emoji777] Kuwa makini sana kijana na uandish wako hasa hapo sijui unamaanisha nan.....!!!!!!! Jina zito sana hili liheshimiwe bhs
  5. kurutuWAdemo

    Kozi za engineering/Science ambazo ni rahisi kujiajiri

    Wa kusubiri kuajiriwa tusubir 2019.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. kurutuWAdemo

    Ukimfumania mkeo analiwa live usimpige, muadhibu kwa namna hii atateseka mno na kujuta

    Au ukiwakuta kwa upole unawapa timetable waendelee na unwasimamia.......!!!!!!!!kiroho safi
  7. kurutuWAdemo

    Ukimfumania mkeo analiwa live usimpige, muadhibu kwa namna hii atateseka mno na kujuta

    Mbna mlolongo mwing na gharama kibao...... Piga chini kama imekugusa kama unampenda unakomaa nae.....!!!!drama za nn......
  8. kurutuWAdemo

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Install apps inaitwa tubemate ila haipo playstore...... Ipo google
  9. kurutuWAdemo

    ARUSHA: Rais Magufuli awatunuku Kamisheni maafisa wapya 422, atangaza nafasi 3000 za wanajeshi wapya

    Sema siku hizi kuna mabadiliko kidogo maana naona general anakuwa na star nne sio kama zaman star 2 ila ni mfumo wa america na uingereza wa general kuwa na star 4 ndo tumeufata..... General(Mabeyo)mkasi,ngao 4 star Luten General(anakuaga mnadhimu huyu)mkasi,ngao 3 star Major General(mkuu JKT ila...
Back
Top Bottom