Ukimfumania mkeo analiwa live usimpige, muadhibu kwa namna hii atateseka mno na kujuta

venchwa

JF-Expert Member
Aug 5, 2016
1,677
1,592
Hello ma rafiki na wananzengo wa haba,
kwa members wa hapa mtakuwa mnaona kila siku nyuzi juu ya kuisalitiwa zinaporomoshwa kila siku na kuomba ushauri, na wengine huwa hawaomba ushauri wanaumia kimya kimya,

Matumaini yangu ukitumia njia hizi hakika utamuumiza zaid mwenzako zaid ya kupigana

1. Ukiwakuta wanakulana live kwanza muite jina ajue kuwa umemuona, alafu wasaliimie hata kama wako kitandani, usichukue hatua yeyote endelea na shughuli zako

2. mkifika ndani ya nyumba wala usiseme chochote.

3. mtenge kwa wiki kadhaa bila kushiriki chakula ya usiku najua ataomba msamaha lakini shikiria msimamo wako

4. tegeshea yuko chumbani kwenu nunua box zima la condom au kinga weka juu ya kabati, nadhani hapa atadhani kwamba aisee mchezo utaanza maana kama kanunua hii kamisi nanii ila haniamini, lakin usizitumie.

5. piga piga simu ukiuliza madaktari kuuliza "halo dokta hivi gharama za kupima ukimwi ni kiasi gani'' hii ipige mbele yake

5. alafu siku hiyo hiyo uliyonunua condomu usiitumie wala kuzitumia zikae tu.

6. siku ya pili hivyo hivyo tegeshea mtu wa kukupigia simu usiku mmelala , toka kaipokelee nje kabisa asijue umeongea na nani kumbe ni msela umempanga tu akupigie.

6. wakati wa mchana simu zikipigwa hata na washikaji zako , mwambie ngoja nikapokee simu nje, unaenda mita kama 30, unaongea hata kama ni mwanume alokupigia

7. Muite fundi samani (furniture) mke wako akiwepo muulizie "hivi fundi kuchonga kitanda bei gani siku hizi" mpe advance mbele ya mkeo umwambie unakitaka kitanda haraka.

8. Piga simu kwa wauza magodoro uliza hivi godoro ''shilingi ngapi nataka godoro hapa nyumbani''naomba kesho nipate ilo godoro

10. kwenye mitandao ya kijamii usi mu unfollow , cha kufanya anza kuweka ukaribu na marafiki zake wa kike comment kuwasifu , na kuonesha kupendezewa na mienendo yao

11.Hama chumbani kwako amia chumba kingine na usiku uwe unaweka full credity unawapigia marafiki zako yeye atakuwa anakuja kuchungulia mlangoni kwako, fungua mlango nenda ukaongelelee njee atakuchungulia dirishani aone simu sikioni haizimi,

12.Siku inayofuata mwambie rafiki yako wa kike ambaye unahisi ni mkali kuliko wote aje nyumbani kujifanya ile proposal mnaimalizia na ameona aje nyumbani na pia katika mazungumzo anasema "hivi mr bonny (mfano) ile project tunaanza na bagamoyo au tunaanzia morogoro?"

Mjibu ''nimeongea na operation manager hawajaeleweka wameandaa nyumba ya kulala lakini ni moja kwa wafanyakazi wote hiki kitu sijapenda wengine tumeoa ujue na hakuna kitu kibaya kama mwenzako kuanza kukuhisi, itabidi tuvumilie mpaka wa arrange utaratibu wmingine kama hawaandai basi hatuna jinsi ila mwanume mmoja nalalaje na wafanyakazi wote almost wakike wanitaftie hata sehem bwana" unaongea ukiwa seriouse

13. kesho yake anza kupanga nguo kwenye begi mwenyewe mkeo akitaka kukusaidia sema hujui napaswa kuandaa zipi ziache naandaa mwenyewe, alafu ukipokea simu ya kutegesha itikia"kwahiyo tunalala nyumba moja au wameandaa utaratibu pili najiuliza swala la nguo kwa mwezi wote huu nibebe zote?" maana nataka nijue pili sitakuwa na wakunisaidia kuzifua nguo hizi japo jenny kasema atanisaidia lakin nabeba chache"

14.nakwambia lazima mke wako kwa vituko hivyo atajishtaki wenyewe kwa wazazi na wazazi wakija sema mbona tuko powa tu atasema hapana mme wangu sema ulivyonifumania aisee smea sema maana hapana

huyu hawezi rudia tena , ila ungekuwa umemnasa kibao yangeisha akarudia


hebu twambie uliwahi kumtesa mkeo au mmeo kisaikorojia?
twambie kwa njia ipi au unahisi njia gani unaona inafaa,

Note that : watu wenye uwezo wa kufumania mke alafu akanyamaza ni wachache sanaaaa pia kwa wanaoweza kumbuka usinyamaze sana hawachelewi kujiua alafu ukajuta wewe


Yalinikuta nikapewa ushauri kama huo akaniambia baada ya siku 2.nikaitwa kwao wakaniuliza tatizo nikamwambia sina ugomvi na mke wangu .akawa analia tu.yani mpaka leo yapata miezi 4. Amekonda mbaya.maana Niko nae toka 2005.ila zingatia msimamo wako na unapo tengeneza mazingira ya fumanizi ujue ni vita. Ya moyo Ila nashukuru wanangu Niko nao vyema na naomba mungu aniwezeshe January niwahamishie boarding kabisa....ushauri kama Una moyo wa wanaume wa dar (dhaifu) usifanye fumanizi utapotea sasa hivi fresh maana nilipata ushauri mapema ndio nikaanza mitego hahaaaa.wanawake viumbe hatari sana.tuishie hapo zaidi ni pm

Kuna jamaa ni mjeshi alimfumania mkewe analiwa nyumbani kwake alipoingia akakuta wanaendelea kitandani akamuita jina mkewe na kumwambia usichelewe kufungulia kuku giza linakaribia.

Baada ya hapo hakuongea kitu akaondoka kurudi kikosini kwake maana alikua anafanya kazi nje ya wilaya.

Siku zimeenda hajauliza wala kugombana na mkewe, na aliyefumaniwa pia jamaa anamfahamu.

Kilichokuja kutokea yule aliyefumaniwa alipararaizi na yule mke aliugua ugonjwa wa akili.

Kwa sasa mke kapona na yule jamaa aliondoka kusikojulikana japo baada ya muda inasemekana alipona


Ila nina mifano miwili juu ya hili:
1.Jamaa alimfumania mkewe ndani,hakuwasemesha akachukua taulo akaenda kuoga,alicyotoka bafuni hakuonesha tofauti yoyote,kumbe 'jembe' lilikua na plan yake alooh,baada ya miezi mitatu bila kumsemesha wala kusex na mkewe jamaa akawa kishapata passport na viza ya Canada maana kuna dadake anaishi huko,jamaa akaacha kazi yake ya u teacher wa sec akabeba watoto wake wote watatu akala kona canada,demu anakuta ujumbe tu ndani "nimekuachia kila kitu ndani na nimechukua wanangu tuu so baki salama na mumeo mpya kuonana majaliwa"
Dahh,demu aliona kama utani na alipopata ukweli kwamba jamaa katimkia Canada dahhhh,demu alijiua kwa kujichoma kisu but akiacha ujumbe wa kumuomba mumewe msamaha.
2.Huyu wa pili yeye alipomfumania mkewe akamwambia mkimaliza kutiana nipigie simu,jamaa akahamia guest demu nae akabeba chake akatimkia kwao,huko kwao akawa analia tu bila kutoa sababu ya kilio chake kila aulizwapo na wazazi,ikabidi wakwe wampigie jamaa,ilikua ni kesho yake jioni but jamaa akawasha gari from Mwanza to Shinyanga kumfuata mke,alipoulizwa why mkeo analia akasema ata yeye hajui maana anashangaa ametoka job hajamkuta na wala hawana ugomvi,bi dada akaduwazwa na kauli za mr akabaki kaduwaa,jamaa akamchukua mkewe wakarudi town maisha yakasonga,kilichofuatia bi dada akazaliwa upyaaaa na mapenzi moto moto kwa mumewe huku wakifurahia maisha ya ndoa!
 
Ukishaanza kufanya yote hayo, mpk yaishe lazima utakuwa umeshamsamehe...!!!

Huna haja ya kufanya yote hayo kama kweli nia yako ni kumuacha.

Mpe fact kwamba u can't tolerate that, then move on wit ur life peacefully...!!!
nia siyo kumuacha nia ni kumpa adhabu
 
Back
Top Bottom