Msaada wa kozi gani ya kuomba

Lional

Member
Oct 4, 2017
10
0
Mimi nimemaliza PCB,Nina div 1.8 nimeomba MD nimekosa,ni kozi nyingine nzuri naweza kuomba kwa point niliyonayo?
 
1.Pharmacy
2. medical lab science
3. environmental and health science
4.microbiology and molecular biology
 
Back
Top Bottom