Nawasalimu wadau wote wa jukwaa hili .tafadhali naomba msaada kuhusu hili;natumia idm kudownload movie na video ila siku za hv karibun imekua inanizingua inadownload video ila haitoi sauti naomba msaada ni fanye nn ama km naweza kupata down loader nyngine .natanguliza shukuran.
nawashukuru kwa ushaur mm sio mwathirika wa virus,na wala sio mwanamke ni mwanaume nina miaka 34 sina uzito wa kutisha kulingana na urefu wangu.asanten.
jaman wadau wa forum hii naomba msaada wenu,mguu wangu wa kushoto eneo la linalokaribiana na kiuno linauma ndan kwa ndan,hakuna uvimbe wowote sjawahi kuanguka wala kuumia eneo hilo.maumivu nayoskia kama vile kitu kinapekecha mfupa kwa ndan kias kwamba kutembea inakua shida.nmejaribu kujichunguza...
nawashukuru wote kwa msaada mzuri wa mawazo hakika naendelea vzuri,nilichofanya nimejitahd kubadili tabia yangu ya kula kwa kula mboga na matunda zaidi pia kila sku jion huwa natafuna mbegu km 8 za mlonge na asubuh nakunywa majan yake km chai,pia nmepunguza kunywa maji meng kwa sasa nakunywa...
jaman naomba msaada wa ushauri kwan niko kwenye wakat mgumu mm n kijana wa miaka 33 nina shida kwenye njia ya haja kubwa napata choo kwa shida yaan naumia sana na mwisho choo kinaambatana na damu nmeuliza watu wameniambia ni haemoroid,ila kwa maelezo niliyopewa n kwamba haina dawa labda ni mpaka...
Chondechonde wadau wa hii forum,natafuta display/ screen /kioo cha laptop yangu dell inspiron 1464 mwenye kujua nakoweza kupata anijulishe tafadhali.kilichopo kimekufa .asanten
skatai pale tunaposhindwa kufanya tusemwe ila namna aliyotumia wazir sio.sawa jamaa hakuwa site lakin makufuli hakujua huko aliko anafanya nn pia kumgombeza mtu mwenye akil km zako ama zaid yako ni uzalilishaji mwelekeze kwa upendo atafanya kwa moyo kwan ubabe huzalisha utendaji wa hovyo,kwa...
Nafikiri hili jamvi ni la watu makini na twapaswa kujadili hoja na sio watu;tumepewa taarifa kuwa makonda ndie rais wa TAHILISO humpend sawa hutabadili hilo,na sioni ukilaza wa MUCCOBS kwan nanyi wengine si mlipeleka wawakilishi ambao nao waligombea nafas husika?km ndivyo vilaza mwaweza kuwa...
Nafikiri Mtatiro amejaribu kueleza namna chopa ilivyopatikana nasi twapaswa kuyapima aliyoyasema kama yana ukweli ama laa, hajaongelea CHADEMA wala CCM.
Ili tusitoke kwenye mada tulizungumze hilo, mambo ya udini, ukabila nk yangewekwa kwenye independent post.
Kama ndugu Mtatiro huo ndio...
jaman mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari ,nashangazwa na huu utaratibu wa wanafunzi wa kidato cha nne kufanya mitihani ya vitendo[practical] wakati shule huska hazina maabara .kinachofanyika ni kwamba walimu wa masomo ya sayansi wanawafanyisha wanafunzi practical miezi ya mwisho...
inamana mwl kuondoka kaondoka na wa2 makini wanaotoa mawazo makini ktk muda muafaka!kilicha baki kutaftana uchawi,nani kasema nini!iwaje chombo makini kama bunge kujadili isu ya jairo kwa ku2mia habari ziczofanyiwa research?kwanini 2camini wote mnavicHwA vya panzi?
eneo ilipotokea ajal panafahamika km kbosho road liko nje kidogo ya manispa ya moshi ,ajal imehusisha fuso mbili moja ya abria(lim bus)na hiyo nyngne ni ya mizigo ilikua imepakia nyanya inasemekana fuso ya mzgo ilikua inatoka wilaya yaa hai kwenda moshi mjin kwa vile eneo lenyewe lina mteremko...
serekali kuweka tozo ktk mafuta ya taa ni kutowajali kabisa wanyonge ambao ni wengi.hivi jast imagine bei ya sukari weka mafuta ya taa kipato 500 vijijini watamudu hii gharama?au waendele kuwasha vinyesi?kwanini uthibit wa uchakachuaji ucbuniwe mbinu nyingine kuliko bei ya mafuta ya taa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.