Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Hahahaha...amakweli hata mtu akitwangwa na mkewe ataisingizia CCM!
Raha moja Machame ni jimbo la Mbowe!!
mbowe ni mbunge ila nchi inaongozwa na ccm na wao ndio hukusanya kodi na kuajiri matrafiki wote nchi nzima..kwa hio magari yote mabovu na madereva wahuni wapo barabarani kwa sababu ya ccm..unabisha?

Japo sijawah fika mosh......sijui kama mbowe anawakilisha machame,,,,,,nadhan ni HAI
Hahahaha...amakweli hata mtu akitwangwa na mkewe ataisingizia CCM!

Raha moja Machame ni jimbo la Mbowe!!

msimlaumu mleta habari hapa JF kial mtu ni mwandishi na mleta habari hakuwepo kwenye eneo la tukio .. yeye kaleta ili kama kuna mtu mweney habari zaidi atuhabarishe.. hakuan mtu mweney proffesiona ya uandishi hapa ...au nakosea?hii sio website ya gazeti

ha ha ha

Imetokea ajali iliyolihusisha basi la kampuni ya LIM Connection ktk eneo la kibodho roas huko Moshi.Inasemekana zaidi ya watu 20 wamepoteza maisha.

Watu kumi na moja wamefariki na 22 kujeruhiwa.
Imetokea njia panda ya kibosho road na imehusisha magari manne

poleni wafiwa.. Kwa nini sasa hivi matukio ya ajali yameongezeka.. Kibodho roas ndo wapi huko..!

poleni wafiwa.. Kwa nini sasa hivi matukio ya ajali yameongezeka.. Kibodho roas ndo wapi huko..!

Nadhani alikuwa anamaanisha kibosho road mkuu..

Kibosho road ni barabara kuu ya moshi-arusha ni ajali mbaya sana kati ya basi la lim connection lililokuwa limebeba wafanyakazi lililogongana na fuso ya mizigo, watu wengi wamepoteza maisha. EE MWENYEZ MUNGU WALAZE MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI NA WAJALIE MAJERUHI WAPONE HARAKA.

Imetokea ajali iliyolihusisha basi la kampuni ya LIM Connection ktk eneo la kibodho roas huko Moshi.Inasemekana zaidi ya watu 20 wamepoteza maisha.

Nawapa pole majeruhi kama wapo. Ajali imetokea mida gani mkuu

Kibosho road ni barabara kuu ya moshi-arusha ni ajali mbaya sana kati ya basi la lim connection lililokuwa limebeba wafanyakazi lililogongana na fuso ya mizigo, watu wengi wamepoteza maisha. EE MWENYEZ MUNGU WALAZE MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI NA WAJALIE MAJERUHI WAPONE HARAKA.

jamani mtuambie chanzo cha hiyo ajali.. Poleni watanzania.

Inauma sana Roho za Watanzania wenzetu zinavyoteketea.....Mungu awatie nguvu familia za marehemu!

Poleni wafiwa ndugu jamaa na marafiki. Hivi kweli ndugu yangu Kaburungu hujaelewa anachoeleza dada Angel hapo au unataka facts gani?

Pole wa Wafiwa na Watanzania wote.Idara ya ukaguzi wa magari na usalama barabara ndio wa kulaumiwa.Maana yake ni kwamba hizi idara hazifanyikazi kama zinavyotakiwa na kwa mujibu wa sheria.Magari mengi hayakaguliwi na badala yake yanapewa stiker za wiki ya nenda kwa usalama.Hii ni hatari sana.Binadamu hathaminiwi tena,pesa ndiyo yenye mashiko zaidi kuliko binadamu?Lakini tukumbuke hizi mali zilizopatikana kwa njia zisizo halali,ni chukizo kwa Mwenyezi Mungu.Nyumba, Magari nk ambayo yamepatikana kwa rushwa,ipo siku tutayaona wakitoa damu za watu.Hii ni ngumu keleweka kwa wote,mpaka uwe na uchaji wa Mungu.Ni kwa nini kila mara ajali barabarani wakati tuna vyombo vya usalama?Jana Mtwara,Juzi Nzega,Mafinga,Ifakara,Dar es Salaamnk.Yaani kwa mwezi mmoja ni zaidi ajali kumi??Hivi tutaita kuna Polissi na Mamlaka zinazohusika Usalama Barabarani.Tatizo ni nini jamaa?

eneo ilipotokea ajal panafahamika km kbosho road liko nje kidogo ya manispa ya moshi ,ajal imehusisha fuso mbili moja ya abria(lim bus)na hiyo nyngne ni ya mizigo ilikua imepakia nyanya inasemekana fuso ya mzgo ilikua inatoka wilaya yaa hai kwenda moshi mjin kwa vile eneo lenyewe lina mteremko mkali speed yaweza kuwa ndo ksababish,inasadikiwa takrban watu 25 wamepototeza uhai.polen wote mlidhurika kwa namna yoyote ile na ajali hii.

Back
Top Bottom