nataabika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nataabika.

Discussion in 'JF Doctor' started by kuringe, Feb 11, 2012.

 1. k

  kuringe Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman naomba msaada wa ushauri kwan niko kwenye wakat mgumu mm n kijana wa miaka 33 nina shida kwenye njia ya haja kubwa napata choo kwa shida yaan naumia sana na mwisho choo kinaambatana na damu nmeuliza watu wameniambia ni haemoroid,ila kwa maelezo niliyopewa n kwamba haina dawa labda ni mpaka zkue ztoke nje ndo zkatwe.nachoomba kufahamishwa ni km kuna njia ya kufanya nipunguze hilo tatizo kwan tumbo linajaa ges kias kwamba mguu wangu wa kushoto unauma ila nikishatoa ges napata afuen kias.niko kwenye mitihan ya university nashindwa hata kusoma kwan ges inayotoka ina haufu kali kias nashndwa kukaa kwenye discussion.nimekua nakunywa maji mengi kias cha lita 3 lakin stil naona hali inaz kuwa mbaya,tafadhal mwenye mchango wa mawazo naomba ila km huna la kunsaidia p,se uskejell kwan sio utan ni hali ngumu napitia.asanten
   
 2. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kukusaidia ni hivi GO C A DOCTOR. Ni vigumu sana kufikia diagnosis bila ya kuhojiana+examination+investigations. The worse ni kwamba hata tukijua tatizo lako ethically ni nguvu kuandikiana dawa mitandaoni

  Kuhusu hemorrhoids hizo ZINATIBIKA tena fasta. Kwa kuanzia kuna dawa ukitumia itakupa auheni kubwa in just 2 days na mitihan utafanya comfortally

  Otherwise pole sana ndugu
   
 3. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  How To Prevent & Stop Hemorrhoids
  If you do not presently have hemorrhoids then you will be glad to know that there are some things that you can do to help prevent the onset of them. After all, hemorrhoids is not an enviable condition by any means! If you do have hemorrhoids and you want to do more than just use a hemorrhoid cream then there are ways that you can prevent flare-ups from affecting your life. Anyone who has experienced hemorrhoids knows that they often do not go away completely but do flare up from time to time and can spell discomfort for the individual.
  What then can you do in terms of preventative hemorrhoid treatment? The first thing you can do is very simple - alter your diet to reflect a healthier approach. Specifically you need to add more fiber or bran to your daily diet. The roughage will allow your bowels to work better and will prevent constipation from occurring.
  Foods that are processed or very refined and high in sugar contain very little fiber. The same can be said for foods that contain a high percentage of animal fat. These kinds of foods do not help your intestines to work as well as they should. To put it another way, stools can pass without any problem if you supply your body with enough roughage through the foods you eat. This also leads to less straining when you use the toilet.
  What you need to do then is to consume more whole grains, fruits, vegetables and bran products. Stay away from foods that can cause problems such as diarrhea, flatulence gas or indigestion. Be kind to your digestive system and it in turn will be good to you.
  Drinking more water on a regular basis is another way to soften up your stools and make them more comfortable. Not only will this minimize straining but it will also be much less likely to irritate any hemorrhoids that you already have. Think of modifying your diet as a type of external hemorrhoid treatment and an internal hemorrhoid treatment.
  A hemorrhoids natural treatment that many people do not think about is to alter their bowel habits. In other words, if you feel that you need to use the toilet then do not hold it but find your way to the bathroom and do what you need to do right away. If you wait too long then your stools will get harder and become drier and this can cause discomfort.
  It is essential that you do not spend too much time sitting on the toilet. As well do not get into the habit of reading on the toilet. If you do either of these things then straining is more likely. Sit down, do what you need to do and then get off the toilet. On average it should take you no more than two to five minutes for a stool to pass. In some cases it will be an even shorter period of time. Once you have finished, wipe your anus gently but thoroughly. Wipe from front to back. This is a natural hemorrhoid treatment that can make a great deal of difference for everyone.
   
 4. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wakati huu wa mitihani kanunuwe supositories upate unafuu wa maumivu. Lakini kwa maelezo yako kuumwa na tumbo upande wa kushoto unapojaa gesi, hii inaonyesha kuna infection ambayo yaweza kuwa chronic. Nunuwa ANUSOL CREAM au SUPOSITORIES na ukimaliza mitihani tu mwone daktari akupatie tiba. ​
   
 5. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Pole sana,muhimu nenda kamuaone Dr,
   
 6. w

  wabanmtata Member

  #6
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana.Subiri wajuzi wakusaidie.
   
 7. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  doctorz kwanza naona haukuisoma post ya mleta mada vizuri, yeye anapata constipation na bloodstained stool na hana hemmoroids ( " hamna vinyama vilivyo jitokeza") ushauri alioutoa lasikoki ni mzuri kwa sababu huyu ni mgonjwa na anahitaji clinical evaluation nzuri! sio vizuri ku prescribe kwenye net namna hii, kama daktari unatakiwa ujue contraindications na indications za dawa, kumbuka anusol ni steroids na some people wako contraindicated, na what if ni anal fissures? Ni vizuri mgonjwa aende kwa wataalamu zaidi kwa ajili ya evaluation. Ethics haziruhusu online prescriptions mkuu....

  Nadhani afya ni bora zaidi ya mitihani.
   
 8. k

  kuringe Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nawashukuru wote kwa msaada mzuri wa mawazo hakika naendelea vzuri,nilichofanya nimejitahd kubadili tabia yangu ya kula kwa kula mboga na matunda zaidi pia kila sku jion huwa natafuna mbegu km 8 za mlonge na asubuh nakunywa majan yake km chai,pia nmepunguza kunywa maji meng kwa sasa nakunywa lita 2 tu kwa siku japo nakosa raha ya kutokunywa km nilivyozoea ila nina aman.nawashukuru sana kwa kunijali Mungu awazidishie hekima na upendo kwa wengne asanten.
   
Loading...