kupanda bei ya mafuta ya taa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kupanda bei ya mafuta ya taa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kuringe, Jun 29, 2011.

 1. k

  kuringe Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  serekali kuweka tozo ktk mafuta ya taa ni kutowajali kabisa wanyonge ambao ni wengi.hivi jast imagine bei ya sukari weka mafuta ya taa kipato 500 vijijini watamudu hii gharama?au waendele kuwasha vinyesi?kwanini uthibit wa uchakachuaji ucbuniwe mbinu nyingine kuliko bei ya mafuta ya taa?
   
 2. J

  Jitu78 Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli ni kwamba hapa inaonyesha kabisa Serikali yetu isivyo uweledi wa mambo na isivyo juwa kuwajibika juu ya wananch wake has wa kipato cha chini,wala lakupandisha mafuta ya taa huku wakidai wanapunguza uchakachuaji ni ukosefu wa uwajibikaji kwani kazi ya serikali na asasi zake ni kuthibiti wanao vuja sheria EWURA kazi yao ni nini mimi nafikiri bunge lingepitisha sheria mahususi kwa ajili ya wachakachuaji wa mafuta moja ni kuhakisha atakaye baininka kuchakachua afungiwe milele kufanya biashara hiyo hapa TZ taabu ni rusha na ufishadi vinasumbua nch hii nzuri na yenye utajili mwingi.

  Lingine naona hii sera inapingana na swala la kulinda mazingira utalinda vipi mazingira huku unapandisha mafuta ya taa? Gesi yenyewe juu? hivi kweli watu waliopo serikalini wana fikiri mema juu ya inchi hii mimi sidhani hata kidogo, kwa mtindo huu tutaendelea kukata miti mpaka jangwa lije TZ ndo watajua athali za kupandisha bei ya mafuta na gesi Ofisi ya mkamu wa raisi mnao shughulikia mazingira hawapo bungeni?
  inatia hasira wana jamii mimi niishie hapa inauma sana
  Nyerere fufuka baba uone vijana wako uliowaanda kwa ajili ya taifa hili mamabo wanayo fanya.
   
Loading...