Ni kweli kabisa mkubwa Manda...ila naona kama kuna kimbembe Jmosi Ijayo hapo na Chelski ingawa ni game ya nyumbani inanipa matumaini kidogo maana atakashinda hapo obviously ndio atakuwa Bingwa
Lets hope and pray wapigwe 3 kama Arsenal
kwani jamani kisheria hilo eneo ni nani ambaye ana hati ya kumiliki ukiachilia serikali...nani mwenye hati kati ya walalahoi na huyo mfanyabiashara? Nafikiri tukitambua hili hatutatumia sana nguvu kwenye kuhoji
Sorry kwa kuingilia ila as a Man Utd fan nipo responsible kujibu, sasa mkuu MTM ina maana sikuhizi nguvu na uwezo wa refa haupo tena au ndio kusema mwamuzi wa mwisho wa mechi za soccer siku hizi ni mashabiki wasioipenda Man Utd
Sasa hivi najua wengi mnalialia sana Man Utd akishinda, angefungwa...
Wakuu heshima mbele
Hivi kweli utalii wa Tanzania tunatumiaje ujio wa Tajiri Abramovich kufaidika katika kujitangaza kwenye soko la utalii duniani!!!!!!!
Hivi kweli tutashindwa kweli hata kusema sasa basi kwamba Kilimanjaro ipo Tanzania na sio Kenya kwa ushahidi wa tajiri huyu kutua ndani ya...
Mkuu FMES nafikiri hapo kwenye red colour ndio msumari wa mwisho wa jeneza na hapa sasa ndio naanza kuamini kwamba 2010 ndio mwaka wetu wananchi wa Mapinduzi ndani ya Tanzania. Kazi imeanza sasa na alama za nyakati sasa zinasomeka vizuri.
Msemo;
"Kama huna meno kwanini ung'ang'anie fundo la...
Kabisaaaaa, na nasema KIBANDA NI MPUUUZI SANA ndio nimesema MPUUZI na wala sikutegemea mtu mwenye ujuzi na uzoefu wa kazi yake kuwa biased hivi.
Ila kwa kweli lazima tukubali sisi wananchi bado ni wanafki sana na tunadanganyika sana na vijisenti vidogo vidogo bila hata kuangalia atahri zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.