BJ, angalia sana. Unakumbuka maneno yako siku ya Manu na Baca? mpaka sasa hivi naona mzee wa BG ameshachanganyikiwa!
SAF alichanganyikiwa alipoingia Emirates kuwaangalia Fabrigas, Ashavin na Vanpersie alafu kwenye mechi ya jtano kati ya asernal na celtic ili ajue jisni ya kufundisha mabeki wake jinsi ya kuwakaba alafu akakuta wote wapo nje.
Na ubaya wa watoto wa wenger ukiwabana washambuliaji basi wafungaji siku iyo wanakuwa viungo na mabeki sasa man wana kazi kwa maana wanachanganyikiwa na hawajui wamkabe nani wamuache nani. kesho Wana Arsenal ni kicheko tu
One of the divers will be missed (Ronaldo), anyway Eduardo is a good cover of that antics
Eduardo is a sky diver nimeona hata kwenye game na celtic..he's very gud
Sky divers wapo wengi Arsenal, Fabregas, Van Persie, Eboue....the list is long mazee...!
I submit my bid sir
Kama uamini subirini
aliye kudanganya forward butu nani? kutokana na formation ya 4 3 3 imetokea kwamba forward wetu nao wamekuwa wakihold mpira kitu ambacho kimesababisha beki za wapinzani kuopen space kwa midfield wetu kuweza kufunga magoli.forward mwenda wazimu ndio hatompa pasi midfield amabye ana chance ya kufunga kuliko yeye.kwahio forward uzuri wake wanauwezo wa kufunga na kucreate magoli kwahio ni vizuri zaidi.nafasi zitakapo kuwepo za kufunga watafunga na kama wana uwezo wa kutoa pasi za magoli watatoa.Msimu huu striker aliyefunga ni Eduardo tu goli 2 kati ya 15! inamaana foward bado butu. Mi ni mshabiki wa Arsenal lakini kwa style yao hii game ikiwa tite mabeki na kiungo hawapandi basi hali si shwari.
Man U ana kazi kuchomoka
mabeki wa burnley.kuna beki gani ya kuwazuia berba, nani, valencia na baba lao wazza?