Wananchi wafunga barabara Segera!

tatizo la huku ni moja,
hakuna DIRECT IMPACT KWA WALALAHOI(wavuja jasho)!

Impact yake ni katika looong term.ukisema mimi na wewe tuipractise SOLIDARITY JUST BECAUSE WE KNOW WHAT IS HAPPENING,NAKUELEWA VIZURI ZAIDI!otherwise will be talking talking talking!

Sijakusoma vizuri, kwa nini hakuna direct impact kwa walalahoi, mie naona wao ndio wako directcly affected na impact yake ni direct sio long term kwani akidhulumiwa thumni anakufa kesho yake, lakini mwingine anaweza kusurvive.

Talking ,talking, talking brings us to know our common problems, if we know that we have a common problem then the next step would be how to solve the problem, that will take us a step further, au vipi.

Kukaaa tu haisaidii
 
uko sahihi kabisa.

nilichojaribu kuelezea ni kwamba kwa mtu anaeuza mihogo pale segera ni ngumu sana kufeel ubadhilifu unaofanywa kwenye mikataba ya madini,lakini ukitaka kuona rangi zake halisi nenda kabomoe kibanda chake cha biashara!kwa sababu pale unakuwa umemuathiri DIRECTLY
 
Hii nchi jamani inachosha na haya mambo,mambo haya jamani hata lini? Hivi unapoenda kumbomolea mtu kibanda chake yeye akapatie wapi tena riziki yake na watoto wake? Hivi na hawa viongozi wetu wakoje,kabla ya kuamua kumpa mtu sehemu huwa wanajaribu kufanya uchunguzi wa kina kwa wanachotaka kukifanya au wenyewe wanaweka maslahi yao mbele bila kujua kuna impact fulani zitajitokeza?kila mara utasikia mwekezaji kafanya hivi,mara hivi mambo haya mpaka lini?
 
uko sahihi kabisa.

nilichojaribu kuelezea ni kwamba kwa mtu anaeuza mihogo pale segera ni ngumu sana kufeel ubadhilifu unaofanywa kwenye mikataba ya madini,lakini ukitaka kuona rangi zake halisi nenda kabomoe kibanda chake cha biashara!kwa sababu pale unakuwa umemuathiri DIRECTLY

Nimekupata barabara,unachosema ni 100% true, lakini sasa hao watu wa segera inabidi waelezwe kuwa kama mikataba ingekuwa inajali maisha yao wasingekuwa wanauza mihogo hii itapandisha mzuka kidigo kwao na kuwafanya wajue haki zao. Adui yao mkubwa sio aliyevunja kibanda bali ni yule aliyewafanya wawe maskini.

Wao kuwa ni vibanda ni matokeo ya kutogawana rasilimali za nchi yetu sawasawa.

Wajibu mkuu walionao kikatiba ni kulinda maliasili yao, jee hii wanajua, I can assure you kwamba wao manadhani hii ni kazi ya polisi tu sio jukumu lao.

Tuwaelimishe hivyo hivyo, kidodgo kidigo.
 
kwani jamani kisheria hilo eneo ni nani ambaye ana hati ya kumiliki ukiachilia serikali...nani mwenye hati kati ya walalahoi na huyo mfanyabiashara? Nafikiri tukitambua hili hatutatumia sana nguvu kwenye kuhoji
 
Heko sana wananchi kwa kuonyesha hisia zenu na kudai haki yenu mchana kweupeeeeee.

Lazima viongozi wa Serikali wajue kuwa Dhulma si nzuri.

Viongozi Mrudishieni pesa zake huyo mwekezaji mlizokula.
 
Naam,
Napenda kuwajulieni hali ndugu zanguni, pili hebu nipeni sifa za kiongozi bora tafadhali, tatu hivi kulia na kulalamika kwa wananchi kwa kiranja mkuu ni vyema? kama ni vyema sasa wananchi wafanye nini kama mwaliemwamini nae analia na kulalama kama wao? Waache wafunge tu! kwani wamelalamikiwa na kiongozi wao mkuu.
 
Back
Top Bottom