Recent content by Kunta Kinte

  1. Kunta Kinte

    JamiiForums Tanzania Rasmi derby ya kariakoo imekufa, Simba wamekuwa dhaifu kipindi kirefu

    UNGEMUACHA AENDELEE KUOTA ILI AKOJOE KITANDANI
  2. Kunta Kinte

    JamiiForums Tanzania January Makamba akabidhi ofisi kwa Waziri Kombo

    NAKUBALIANA NA WEWE NI MMOJA WA WANASIASA WACHACHE TULIONA WENYE AKILI KUBWA. SHIDA INAYOMUANDAMA NI KUUTAKA URAIS, NA NADHAN HILI SI TATIZO KWA MWANASIASA YEYOTE. KUWA AMBITIOUS KWENYE SIASA SI DHAMBI HATA KIDOGO!!
  3. Kunta Kinte

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Tanzania yawa miongoni mwa nchi zilizoongoza duniani kwa unywaji wa pombe kali kwa Vijana Umri kati ya Miaka 15-19

    AFADHALI HATA NA SISI TUMEONGOZA KWENYE JAMBO DUNIANI. KILA SIKU WA MWISHO TU INAKERA!!!
  4. Kunta Kinte

    JamiiForums Tanzania Jirani kanikwaza sana kajenga fensi

    INAELEKEA AMESHAKUGUNDUA JICHO LIKO KWA MY WIFE WAKE KILA MARA, PUNGUZA UASHERATI
  5. Kunta Kinte

    JamiiForums Tanzania Tribute to Mwana JF Mwenzetu William Malecela Le Mutuz, Alikuwa Mtu wa Watu

    NYE NYE NYEE!
  6. Kunta Kinte

    JamiiForums Tanzania Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

    ya kwake hatuyajui sababu hajayaweka wazi, ukiamua kufanya maisha yako ni sehemu ya jamii tuna haki ya kuyazungumzia-wacha isemwe wazi kwamba huyo zumbukuku hakuwa mfano sahihi ili vijana waliotamani aina ile ya maisha wajue hakuwa role model mzuri
  7. Kunta Kinte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    wakenya wako vizuri sana, pamoja na baba kupewa kipaumbele na rais pamoja na state machinery zote lakini bado anapelekeshwa na hustler, hii safi sana wananchi ndio waamue kiongozi wanamtaka sio state machinery kujiwekea watu wawatakao wao!!
  8. Kunta Kinte

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake kulamba asali hivi karibuni

    amka ukakojoe usiendekeze ndoto!!
  9. Kunta Kinte

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mbowe atoa ya moyoni kuhusu Halima Mdee

    yesu anakaa na mafedhuli?
  10. Kunta Kinte

    JamiiForums Tanzania Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

    KULA PALE TU UNAPOSIKIA NJAA, NA UKILA GAWA TUMBO SEHEMU TATU, 1/3 CHAKULA, 1/3 MAJI 1/3 HEWA UNENA UTAUONA KWA WENGINE TU!!!!
  11. Kunta Kinte

    JamiiForums Tanzania Mwanajf, Naibu Waziri, Ahudhuria Birthday Wema Sepetu, Mlimani City, Avalia Gauni la Rangi ya Chanikiwiti, Apendeza!, Atokelezea!

    HAHAAAAAA!!! Sijafanya utafiti huo mkuu, asante kunijuza!
  12. Kunta Kinte

    JamiiForums Tanzania Mwanajf, Naibu Waziri, Ahudhuria Birthday Wema Sepetu, Mlimani City, Avalia Gauni la Rangi ya Chanikiwiti, Apendeza!, Atokelezea!

    Pascal Mayalla, KWELI WAKINA DADA WANGEJUA MIKOROGO INAVYOWAHARIBU WANGEACHANA NAYO KABISA!!
  13. Kunta Kinte

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ceballos ni mpitaji tu acha tukuze vya kwetu badala ya kuwakuzia madrid Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Kunta Kinte

    JamiiForums Tanzania Finally: Nimeanza rasmi kilimo cha miti ya mbao Iringa

    Pale legend anaposema anajikongoja!![emoji28][emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Kunta Kinte

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Ni kosa (kwa mujibu wa maaskari) kukutwa umekaa bustanini Posta ya zamani..

    Ni kweli sheria hii iliwekwa na wakoloni ili kulazimisha watu wafanye kazi na kama usemavyo kazi zilikuwepo, hivi sasa kazi hazipo lakini sheria nayo bado ipo na kwa hivi sasa inatumiwa na jamaa zetu kujipatia kipato!
Back
Top Bottom