Rosicky
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 1,203
- 2,064
Hawajafanya uhuni!.. Pengine wamegundua madhaifu ya mchezaji na hivyo wamebadili gia angani!.. Kumbuka Arsenal wanataka loan deals.Bodi imefanya uhuni wa hali ya juu sana
Kwa hili Arteta hayupo sawa, huwezi kumuacha Ceballos nje uanze na mtoto Willock.
Wanapigana vijembe sana hawa
Tuache kujifariji mkuu, deal linaelekea kukwama kutokana na timu kutaka vya bure. Tusipindishe ukweli, ubahili kwenye zama hizi haupo.Hawajafanya uhuni!.. Pengine wamegundua madhaifu ya mchezaji na hivyo wamebadili gia angani!.. Kumbuka Arsenal wanataka loan deals.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeanza kuongea ukweli kama mkuu THREEDOORS.Tuache kujifariji mkuu, deal linaelekea kukwama kutokana na timu kutaka vya bure. Tusipindishe ukweli, ubahili kwenye zama hizi haupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
nimemaindi kinyama
u see it broKwa hili Arteta hayupo sawa, huwezi kumuacha Ceballos nje uanze na mtoto Willock.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hili Arteta hayupo sawa, huwezi kumuacha Ceballos nje uanze na mtoto Willock.
Sent using Jamii Forums mobile app