Recent content by KUNGUNI

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Hakika ni vizuri sana tukajua nani mmiliki wa Lorry linalohusishwa na ajali hii. Lilitokea wapi, linaelekea wapi?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Karume akacha kikao cha Baraza la Mawaziri

    Wakurya wana utaratibu wa kukaa kwa matabaka,wakati wa majadiliano. Wenye mke mmoja hukaa tofauti na wale wenye wake wawili. Wenye wake watatu nao hukaa tofauti na wenye wake wanne nk. Karume kwa hadhi yake ni sawa na mtu mwenye wake wengi. Kwanini akae na watu wasio na hadhi kama yake?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Imani ya Ushirikina na Maisha ya Mwananchi

    Ukitaka kujua kama yapo ama hayapo si umuingie tu huyo jamaa. Lakini usisahau kuja hapa kutupa taarifa baada ya utafiti wako.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maandamano Kumpinga Kikwete

    Naona bora utafute nauli ukamuone Mjomba. Lakini pale mlangoni jamaa wanapiga sana uwe muangalifu. Maandamano hayatakufaa.
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Migingo Saga: Kenya vs Uganda, why?!

    Jamani, tuache kabisa kushabikia vita. Ni kitu kibaya sana, usiombe. Waulize wakazi wa Mbagala Dar es Salaam.
  6. K

    JamiiForums Tanzania JK amcheza bintiye ngoma

    Nadhani tunakuwa wepesi kukimbilia kwenye kulaumu au kunung'unika kabla hatujapata ukweli wa jambo lenyewe. Hapa hatujaambiwa ni kiasi gani kimetumika katika sherehe hizi. Je ni kiasi ambacho JK mwenyewe kama JK hawezi kukimudu! Tupate details kwanza.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mengi’s ARV firm placed under receivership

    Au ndiyo utekelezaji wa Mpango kabambe wa Waziri kijana ........
  8. K

    JamiiForums Tanzania Julius Nyaisanga 'Uncle J' aacha kazi

    Naamini kila mtu ana mwisho wake. Unaweza kuwa mzuri au mbaya. Huu ndiyo mwisho wa Nyaisanga. Kama hakuzichanga karata zake sawa sawa sijuwi ......Labda Tido Mhando amsaidie huko TBC.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Maskini Wacko Jacko!

    Pole sana Wacko Jacko. Mwenyezi Mungu ana miujiza yake. Kwa dua zetu na maombi yako kwa Mwenyezi Mungu, unaweza kusimama tena kiafya. Insha Allah.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mkapa above the law?: Allegations

    Mramba na Yona hivi sasa wanaumia sana wakiona wao wamekwenda Keko na mshirika wao wa karibu Mkapa hawezi kushitakiwa. Wananchi walio wengi wangependa( waulizwe kwa kura ya maoni) kinara wa ufisadi Mkapa anashitakiwa kama walivyoipata wengine.Nadhani ipo haja ya kufanya marekebisho yanayostahili...
  11. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kwawaka Moto! Mbowe arudi Dar!

    Kwani anatatizo gani mpaka ajiuzulu?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Cabinet Baada Ya Lowassa: Waziri Mkuu Mpya Atakuwa Nani?

    Kwanini asiwe Dr. Harrison Mwakyembe, au kwa kuwa kamkaanga Lowasa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Cabinet Baada Ya Lowassa: Waziri Mkuu Mpya Atakuwa Nani?

    Wassira hafai kuwa Waziri Mkuu. Sura yake mbaya, inatisha. Tunahitaji pamoja na sifa zingine mtu Handsome.
Back
Top Bottom