Recent content by Kumbakumba

 1. Kumbakumba

  Mwakyembe: ATCL Kununua Ndege Mbili Mpya!

  Nilizima tv baada ya kuanza hizi story
 2. Kumbakumba

  Museveni amsifu Kenyatta kwa kuwa mtu wa vitendo zaidi

  Kinachonishangaza nchi hii ni kwamba wanaiba, inajulikana wameiba na hakuna kitu serikali inafanya
 3. Kumbakumba

  Msaada wa madawati

  Asante sana
 4. Kumbakumba

  Msaada wa madawati

  Ni mashirika gani huwa yanatoa msaada wa madawati?
 5. Kumbakumba

  Kashfa ya jengo refu kujengwa karibu na Ikulu: Ukweli ni Huu...!

  kila kitu ikulu inahusika????kama ni kweli ni tatizo
 6. Kumbakumba

  Ni Wapi Soko la Mbaazi Ntapata?

  Nafahamu pia india wananunua sana mbaazi, sifahamu wanatumia kwa kazi gani
 7. Kumbakumba

  IGP Said Mwema aongezewa mkataba

  naamini iko siku atajibu anayoyasimamia kwa sasa
 8. Kumbakumba

  Mawaziri Khamis Kagasheki na Thereza Huviza wagongana

  Utalii unaoharibu mazingira yetu hatuuhitaji hata kidogo.kama kagasheki anautaka atafute pa kuupeleka
 9. Kumbakumba

  mayai ya kisasa arusha

  Nina tray 100 za mayai ya kisasa yapo arusha mjini.serious bussiness atume msg 0713225787
 10. Kumbakumba

  JK aliulizwa maswali haya na wazee wa Serengeti,na majibu yake kuhusu BILILA

  Scandnavia bus service ilikufa..ndio naweza kusema tu kwa sasa
 11. Kumbakumba

  Kwa akili hizi za viongozi wetu, Tanzania bado sana

  Zimbambwa+Tanganyika+Pemba=Tanzania....Mbunge mwingine nasikia aliwahi kusema barabara ya lami ijengwe ndani ya serengeti national park, ila eti wanyama wawekewe madaraja ya chini ya barabara wapite ili wasigongwe, nikawaza nikasema huyu mbunge angepewa muda zaidi wa kuzungumza angemalizia...
 12. Kumbakumba

  Sheikh Fareed wa Uamsho apatikana akiwa yu hai na mwenye afya tele

  Sasa hivi siiamini serekali hata kidogo,serekali gani inayopigwa mkwara na wahalifu na inatii..upuuzi mtupu
Top Bottom