Sheikh Fareed wa Uamsho apatikana akiwa yu hai na mwenye afya tele

hata Dr.Omari Ali Juma...those times were good,hawa wa sasa hata sijui tuwaweke kundi gani....wapowapo tuu,
hakuna Rais hakuna Jeshi ndomana SMZ wanaidharau sababu inashindwa kutoa adhabu kali kama iliyokuwa akifanya dr Salmin
 
Tetesi zingine zinadai alijichimbia kwa ''Bi.Mdogo'' akiondoa stress kwa kula vitu lainiii. Limbwata ni mbaya sana.
 
Mmeona heh, mambo ya Al shabab,Boko haram na al qaida?

Siku chache zilizopita nilihama Hotel ktk ya mji baada ya kuona vibaragashia vingi vinacheck inn nao kama wateja, mie binafsi hivi sasa kwa movent hizi tunazoziona tayari naamini kabisa 100% ( lakini sina ushahidi) Al shabaab/Boko haram Dar wapo & time will tell. chondechonde tusipende kurundikana rundikana kama kumbi kumbi
 
Uamsho wanabackup kubwa ya serikali Karume,Moyo, na MPS wanawasupport hawa jamaa.na wana influence kubwa sana kwa wazanzibar. Ila kwasasa inaoneka kama wanaujumiwa ili wapigwe marufuku kutoa mihadhara.Haya yaliotokea Kiongozi wa UAMSHO Bw. Mselem aliyatabiri 3 weeks ago kuwa yatatokea na yatausishwa na Uamsho. :A S-rap:


Hebu fafanua kidogo hapo kwenye red Mkuu. Una vigezo vipi hapo.
 
Siku chache zilizopita nilihama Hotel ktk ya mji baada ya kuona vibaragashia vingi vinacheck inn nao kama wateja, mie binafsi hivi sasa kwa movent hizi tunazoziona tayari naamini kabisa 100% ( lakini sina ushahidi) Al shabaab/Boko haram Dar wapo & time will tell. chondechonde tusipende kurundikana rundikana kama kumbi kumbi
Ni kweli mkuu,kwa hali ilivyo sasa tunapaswa kuwa makini na hawa jamaa!
 
Mkuu, namemsikia sasa hivi 23:50HR akizungumza na correspondent wa ITV, analalamika kwamba eti Mafisa wa Polisi na Usalama kutoka bara ndio walimu-apprehend kwa mahojiano ya kina!! Nilimsikiliza kwa umakini alivyo kuwa anamjibu mwandishi wa habari - one could SENSE kwamba anataka ku-implicatemainland kwa masahibu yake!! Kama ni kweli how did he know kwamba wahusika walikuwa predominantly wanatoka BARA, kwani Visiwani hakuna ma afisa wa kumuhoji kama kulikua na ulazima wa kufanya hivyo?

Amelisema hili akiwa na malengo fulani akili mwake (in my opinion) - I stand to be corrected.

Cha kuhuzunisha ni kwani hayo madai yanatolewa na kiongozi wa kiimani (sheikh). Na ndio nasema anaweza sana kudanganya walimwengu kwa ulimi wake, lakini kwa huyo muumba wake anayejidai anamuabudu kamwe hawezi kudanganya.

Hii ya kusema ni maafisa wa usalama kutoka bara ni usanii wake na wapambe wake wa kutaka kusingizia kila kitu Tanganyika. Lakini anachosahau huyu sheikh ni kwamba dereva wake alisema alishuka kwenye gari na kuingia kwenye gari nyingine (bila bughda) na kwenda zake 'mafichoni. Mambo ya kitoto kweli kweli.
 
Me nashangaa serekal inawang'ang'ania wauza mchele wa pemba,wao si wanataka kujitenga wasepe...
 
wakuuu hata asiye na akili anajua huo ni Usanii ili kuongeza umaarufu na wapate wafuasi wake kufanya vurugu na hii siri walkuwa najua viongozi wawili tu yan yeye na mselem SMZ ni kama jiwe mazuzu yote Shein amekaa tu kama zuzu...serikali gani hata isiyo na mamuzi mgumu tia risasi wote wajinga hao kama china.....China wanafunzi wa vyuo waliandamana na mabango yao basi wakatangaziwa Mr Raisa anataka kuongea nanyi nenden uwanja wa Taifa yan kama uwanja wetu wa hapa, kisha walipoingia wakawa wanamsubiri Rais ghafla wakatiwa risasi wote wakabebwa na kijicho wakazikwa shimo moja mchezo umekwisha Marekani akataka kuingia akambiwa hawa ni Raia wangu acha niwafunze adabu
 
Sasa hivi siiamini serekali hata kidogo,serekali gani inayopigwa mkwara na wahalifu na inatii..upuuzi mtupu
 
Hahahaaaa pasco u made my day kamanda upo yakhee sikuoni sikuhizii
Nipo sana tuu ila miye nimesha jikubali siye "machogo", hivyo kwa sasa huko kwenu sikanyagi kwa muda, nawasubiria mpaka mtakapopata kile mnachokitaka ndipo niombe viza yenu nije huko kukusalimia!, ila hala hala, Oman isije geuka ni karibu kuliko Dar, Tanga na Mafia! au wakati mkiomba mnachokitaka, pia mtaziomba na zile 10 Miles za Costal Stripe za Sultan alizopewa na Mkoloni?.
 

Kweli mdau hii ni sinema, ila inasikitisha kwa miaka hii ya karibuni vyombo vya habari vimesheheni habari za machafuko na mbaya zaidi zinavuta attention kuliko habari ambazo ni productive, huyo amejitokeza kwa vyombo vya habari na si kwamba amepatikana (walikuwa wanaigiza tu)
 
My take - It should read "AONEKANA" na sio "apatikana"..aliempata ni nani kama ni kweli kuwa alitekwa???..just thinking aloud!
 
nimemsikiliza Sheikh Fareed akihojiwa baada ya kupatikana. huyu jamaa ni genius. alikuwa amefungwa kitambaa usoni(haoni) na amefunngwa pingu mikononi, na hakuweza kuyaona mazingira ya nyumba aliyowekwa lakini alikuwa ananyanyuka anaenda chooni kujisaidia na anakunywa maji bombani(kule wanaita mfereji) humo ndani huku haoni na kafungwa pingu.
Pia huyu jamaa ni jembe haswaa, amekaa siku tatu bila kula, anaulizwa sasa hawa watu waliokusanyika hapa utakuwa nao mpaka saa ngapi anasema atakaanao hadi atakapochoka, yaani bado hajachoka, jamaa ana energy sana.

BREAKING NEWS Sauti ya UST Farid na Salma Said | Mzalendo.net
Uongo uliotengenezwa bila elimu
 
Back
Top Bottom