Kashfa ya jengo refu kujengwa karibu na Ikulu: Ukweli ni Huu...!

serkali dhaifu chama dhaifu,raisi dhaifu ndo sababu ya utoaji vibali holela mpaka ujenzi usio halali unafanyika.
 
Kwani wakienda Dodoma hawataishi? Mbona nchi nyingi tu waliamisha makao yao makuu kutoka sehemu za pwani na kupeleka bara eg Brazil, unadhani mawazo ya waasisi wa Taifa hili kuamisha makao makuu yanchi walikuwa wapumbavu,

Mkuu suala la kuhamia dodoma haliko, nani aache beach aende kukavu kule?
 
Mleta mada una tope kichwani na hii hadithi yako,kajipange upya utoe mkojo wa lema kichwani mwako.

kweli kua gamba ni bora uwe na ukimwi,yani mambo ya msingi kwa mustakabali wa nchi yako unaongea upuuzi! unampenda sana lemaee!? lema ni mbunge tena jasiri,shupavu na anaependa haki,ccm yako ndo imefanya uovu wote huu.
 
Tofautisha rushwa na demokrasia au udikteta au unadhani rais akiwa dikteta hapokei rushwa?
Afadhari angekuwa anapokea peke yake basi... Yaani hadi yeye mwenyewe anajuwa kwenye chama chake kuna rushwa, lakini waliochaguliwa kwa rushwa wapo hadi kesho

Demokrasia inakutaka ukae meza moja na aliyekula rushwa ili mfanye mjadala... Udikteta mtu mla rushwa hajadiliwi... ni kumpa adhabu inayomstahili tu...

Ingekuwa Urais ni majaribio tungekupa wewe ili ujadiliane na hao wararushwa!!!!, yaani mtu katoa au kupoke rushwa then mjadiliane badala ya kuchukua hatua za kumfunga gerezani,
Hafu Rais hata ukiwa dikteta kama wewe unakula rushwa usitegee viongozi na watumishi wengine wasile rushwa kwani na wao wanakuona jinsi unavyopokea rushwa.

Afadhari angekuwa anapokea peke yake basi... Yaani hadi yeye mwenyewe anajuwa kwenye chama chake kuna rushwa, lakini waliochaguliwa kwa rushwa wapo hadi kesho

Demokrasia inakutaka ukae meza moja na aliyekula rushwa ili mfanye mjadala... Udikteta mtu mla rushwa hajadiliwi... ni kumpa adhabu inayomstahili tu...

...nchi ya ajabu sana TZ....yani JK kwa miaka yote karibia 9 amekuwa anapita hapo ocean road (karibu na jengo hilo)akienda na kutoka ikulu na anaona jengo linajengwa na wala haoji....wanakuja kujifanya eti kumefanyika makosa wakati jengo limekamilika.....huu ufedhuli ni wa kiasi kikubwa sana....na ofii za usalama wa taifa ziko hapo hapo nyuma...na hata watu wa usalama wa taifa wengi wanaishi hapo hapo jirani kwenye majengo ya ocean road....huu utawala kuna siku utajibu watanzania kwa blunder wanazofanya....

sasa ushaambiwa jk alikuwa na hisa akampa huyo theodere(h/w mfuatilie ni nani mi nishajua) unategemea angezuiaje ujenzi wa jengo hilo shtuka.
 
kumbe ndio walikuwa wanakaa pale?!dah ndio maana kipindi kile nilikuwa nikipita pale asbuh kuelekea kibaruani nakuta V8 za kutosha zinaunguruma. hapo mbwa kala mbwa. yani serikali kupangisha jengo ambalo kesi yake iko mahakamani nashindwa kuelewa.

tehe tehe tehe mkuu umenichekesha kweli inji hi maajabu hua hayaish hadi cku ccm inaondoshwa mbali kwenye raman ya dunia.
 
Hili la kutoa hisa za bure kwa raisi ni jambo la kawaida katika uwekezaji hata katika migodi kwa tanzania,wanamilikishwa kwa kupewa hisa za bure mwisho wake wanavunja sheria na hawawezi kutetea watanzania,
 
Wamiliki wa jengo ni Hilton Hotel Inc. ya US. Mwaka 1991 walihonga maofisa wa serikali ya Mwinyi (Ilulu) hivyo kupewa kiwanja na kufanya maadalizi ya awali ya ujenzi. Mwaka 1996 wamiliki wa kiwanja husika walihonga maofisa wa Serikali ya Mkapa (Ilkulu) na kupitisha michoro ya jengo na baadaye kuanza kujenga kwa ahadi kuwa wana jenga ghorofa 5 ambazo si tishio kwa usalama wa Ikulu.

Jakaya Kilwete alipoingia madarakani wamiliki wa jengo hilo walibadirisha mkakati wa hongo. Waliwasiliana na Rostam Azizi na kufanya naye deal ya hisa. Walimuuzia hisa asilimia 20 walimshawishi awawezeshe kumwingiza JK mkenge.

JK alikibaliana na deal hivyo kupewa hisa asilimia 10 bila malipo (rushwa). Hisa za JK alimilikishwa Theodorine Teodore Obiang Ngwema wa Dar es Salaam - tajiri kijana na blocker maarufu jijini Dar es Salaam.

Hayo mambo ya kesi za rushwa kwa watendaji wakuu wa TBA ililuwa cleansing exercise - kuondoa nuksi, yaani kuzuia utawala ujao usifuatilie tena suala hili - maana litakuwa limekwishaamuliwa mahakamani.

Mchezo kwisha!

Hi kujenga ama kujenga yote haya ni kuwa na watu wana choyo roho mbaya ya korosho kuna tatizo gani kujenga pale?
Usalama gani wa ikulu? Kwani mtu akikaa kigamboni kule na gruneti haipati ikulu?
Au wale wavuvi usuki baharini ?
Nchii hii kuna uchoyi fulani. Mtu akipewa kazi na kuamua jambo la faida basi atatsfiutiwa sababu.
Ndio maana mji wetu uko tafrani tupu. Barabara zinajengwa na mitaro mikubwa pembeni watoto watembea kwa miguu hawama pa kupita lakini hakuna anaesema kuwa haya ni uharibifu.
Ukijenga jengo likipendeza nongea.
Ilijengwa sheraton sasa hii serena ilikua nongwa. Kadhalika golden tulip na sea cliff.
Wa ajab sana.
Sheria za mwingereza za kuyojenga baharini zishapitwa na wakati.
Miji inapendeza kwa wenzetu duniani.
Akili za kijamaa zinaturudisha sana. Maana sifa moja ya siasa hizi za kisoshalisti ni uchoyo na kutiliana fitina.
Namuomba kikwete asibabaike na wachoyo .tumeikalia bahari inatakiwa kuendelezwa kuingiza mapato. Peleka mswaada kubadilisha hii sheria hio idiokua na mpango
 
Nchi haina utalamu wa kupunguza urefu wa ghorofa hadi kufikia tano bila kuathiri uimara wa jengo zima. Kwa ufupi amri ya mahakama haitekelezeki.
mkuu unamaanisha nini hapo unataka kutuambia kuwa nchi haina wasomi ambao ni wataalamu au unamaanishi wataalamu walioko ni hewa tu hebu tuweke wazi usije kutetea uozo ndani ya nchi na wewe tukakuona ni sehemu ya tatizo
 
Hizo zote ni blaa tu jengo linamilikiwa SHEDAFA HUSEIN mwenye Africariers na waliyojenga bengo ni Estim Construction.

Na floor mbili wamepangisha usalama wa taifa.
 
Ukijadili sana haya mambo mwisho wa siku viongozi wanakwambia una wivu "WIVU WA KIKE" Kitu kizuri zaidi kwa viongozi ni kuwa watz hatuchui hatua yoyote zaidi ya kupiga story km wale ndugu zangu washinda vijiweni.
 
Wamiliki wa jengo ni Hilton Hotel Inc. ya US. Mwaka 1991 walihonga maofisa wa serikali ya Mwinyi (Ilulu) hivyo kupewa kiwanja na kufanya maadalizi ya awali ya ujenzi. Mwaka 1996 wamiliki wa kiwanja husika walihonga maofisa wa Serikali ya Mkapa (Ilkulu) na kupitisha michoro ya jengo na baadaye kuanza kujenga kwa ahadi kuwa wana jenga ghorofa 5 ambazo si tishio kwa usalama wa Ikulu.

Jakaya Kilwete alipoingia madarakani wamiliki wa jengo hilo walibadirisha mkakati wa hongo. Waliwasiliana na Rostam Azizi na kufanya naye deal ya hisa. Walimuuzia hisa asilimia 20 walimshawishi awawezeshe kumwingiza JK mkenge.

JK alikibaliana na deal hivyo kupewa hisa asilimia 10 bila malipo (rushwa). Hisa za JK alimilikishwa Theodorine Teodore Obiang Ngwema wa Dar es Salaam - tajiri kijana na blocker maarufu jijini Dar es Salaam.

Hayo mambo ya kesi za rushwa kwa watendaji wakuu wa TBA ililuwa cleansing exercise - kuondoa nuksi, yaani kuzuia utawala ujao usifuatilie tena suala hili - maana litakuwa limekwishaamuliwa mahakamani.

Mchezo kwisha!

kiongoz naombeni mweke picha ya hilo jengo tulione na sisi tulio mbal.
 
Nchi haina utalamu wa kupunguza urefu wa ghorofa hadi kufikia tano bila kuathiri uimara wa jengo zima. Kwa ufupi amri ya mahakama haitekelezeki.

Hili Taifalinatia uchungu ila halijampata kiongozi mzalendo wa kweli. Natamani ningekuwana uwezo katika mamlaka ya juu kuomba kupitisha na kusimamia utekelezaji washeria ya kuwa “yeyote aliyehujumu uchumi wa nchi hii anyongwe hadi kufa ndaniya siku 7”
 
Back
Top Bottom