Nyamtala Kyono
Senior Member
- Sep 23, 2010
- 163
- 34
Leo katika ikulu ya nairobi,kenyatta alikuwa ana saini mkataba wa ujenzi wa reli na china kutoka mombasa,nairobi,uganda mpaka rwanda. Maraisi wa cow wote walikuwepo. Tanzania iliwakilishwa na membe,nilimuona kwa mbaali akijichekelesha. Sikumuona rais wa burundi pia.
Katika kusema chochote,raisi museveni alisema anamshukuru kenyatta kwa kuwa mwana afrika mashariki wa vitendo na sio kwa maneno. Akanukuu biblia akisema "mtawajua kwa matendo na sio maneno".
Kwangu mimi naona si tu amemrushia dongo jk bali na kwa nchi yetu.
Karibuni tujadili