Ahsante kwa kupata nafasi hii ya kutoa maoni juu ya katiba tunayoitaka. Napendekeza yafuatayo yaingizwe kwenye katiba:- (1) Kuwepo serikali tatu kama ilivyo kwenye rasimu ya katiba (2) Kuwepo wagombea binafsi (3) Mikataba yote ambayo nchi inaingia na wawekezaji wa ndani na wa nje lazima...
Haya makampunisi walikuwa marafiki kiasi cha kushirikiana nakupeana au kubadilisha apps? sasa ni cha mno kilichowakosanisha? Naona watakaoumia zaidi ni watumiaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.