Internet ya vodacom ni balaaaaaa

Internet ya vodacom ni balaaaaaa

nahamia huko soon

hahahaaaa, UMEBUGI man!,
hamia ZANTEL mkuu hutajilaumu hata kidogo, check hiyo attachment, ni saa 7 mchana tena siku ya kazi speed nadownload mpaka 780KBps, kwa Tsh. 20,000 tu kwa mwezi napata 5GB!. ukitaka ile ambayo inafanya Laptop yako ishike moto wakati unadownload kutokana na speed kali sana, then try kifurushi cha 3 days UNLIMITED, utakuta modem inapakua vitu mpaka juu ya 3.0MBps si mchana wala usiku!
 
kwanza why ungoje mpaka usiku wa manane??
unajua mitandao ya GSM na sasa hii ya 3G haiwezi kua na speed mchana kwa sababu the same network inatumia both voice and data ambayo inafanya mtandao uwe congested!, sasa hawa jamaa kuondokana na hilo wanaleta PROMOTIONS zao za USIKU WA MANANE wakijua kwamba hakuna congestion. lakini kama ulivyosema mkuu Abdulhalim hapo kwenye bold lazima itakua hivyo.
nawaaminia makampuni yanayotumia CDMA kwa internet connection kwamba ndio yanatisha kwa speed, tyr Zantel na TTCL uone.

Sio kweli and here i can prove.

-ukiwa na simu inakaa 3g ukipiga na simu inakaa 3g ila ukiconect na internet inakaa 3.5g so kupiga na simu na internet ni tofauti

-kwenye modem inakaa wcdma ukipiga simu inakaa wcdma ila ukikonect internet inakaa either hdspa au hspa so ni network tofauti

Kauli yako itakua ya kweli endapo utatumia edge au gprs ndio watu wakiongea sana na speed ya net inashuka.
 
Last edited by a moderator:

Chief mkwawa yupo right. Nowdays Katika telecommunication kuna band za frequency zinakuwa allocated kwa ajili ya voice call na nyingine kwa ajili ya data.

Frequency bands huwa allocated Kutegemeana na zone. Kwa Tanzania na most african countries mostly huwa zina be allocated band 2 kutegemeana na uhitaji I.e 900 Mhz na 1800Mhz. Ambapo zote hurushwa pamoja kwa watumiaji huku dhumuni la band ya 900 ni kuwafikia wale walio mbali na site husika na band ya 1800 kwa ajili ya wale walio karibu. Na katika band hizi 2 ndipo tunapoona teknolojia za GPRS na EDGE kwa pamoja huitwa 2G technologies

Kwa upande wa 3G, huwa ni tofauti kwani hata vifaa vya 3G transmission huwa ni separate na havitegemeani kabisa na vifaa vya 2G transmission. Ingawaje 3G hurushwa katika frequency range ya 1800Mhz-2100Mhz processing ya 3G signals imeboreshwa zaidi hivyo kufanya kuwa na spidi kubwa katika mawasiliano.

Na ikumbukwe 3G katika TDMA ndio hiyo huwa inakuwa denoted kama UMTS. Na TDMA ndio technolojia inayaotumiwa na TIGO, VODACOM, AIRTEL na ZANTEL (ingawaje pia wanatumia CDMA).
 
Hawa Voda ni wapuuzi sana, tangu juzi nataka kujiunga na internet inashindikana, ukiwapigia simu customer care wao wanakuambia endelea kujaribu, this is utterly bulsh*t, kama hawana uwezo wa kuprovide hiyo huduma kwa wateja waseme sio wawe wanatupotezea muda wetu. Hivi kuna chama cha kutetea watumiaji wa simu Tanzania dhidi ya haya makampuni ya simu?
 
Nashukuru kwa kunipiga shule ya ukweli.
 
Huo mtandao ukitoka dar basi ni kichef chef kitupu. Mimi natumia hawa jamaa wa kiarabu wa kijani
 
fking bulchit goma ali connect usiku balaa tupu alafu voda rekebishen menu yenu ndefu bonyeza zisi bonyeza zati hhgh mpaka michosho utafikiri naingiza umeme kwenye luku bana nyie vip
 
Hawa Voda ni wapuuzi sana, tangu juzi nataka kujiunga na internet inashindikana, ukiwapigia simu customer care wao wanakuambia endelea kujaribu, this is utterly bulsh*t, kama hawana uwezo wa kuprovide hiyo huduma kwa wateja waseme sio wawe wanatupotezea muda wetu. Hivi kuna chama cha kutetea watumiaji wa simu Tanzania dhidi ya haya makampuni ya simu?

nilidhani niko peke yangu. Nilikua nawakubali ila they're nothing Pumbaf zao
 
tigo ndo mambo yangu na ntakunywa sumu juu ya Tigo mimi jinsi ninavoipenda we acha tu

Siku ukinunua Android uweke kitigo chako hicho utakuja nipa majibu. Ndo itakua mwanzo na mwisho ku2mia internet yao
 
ka-modem ka voda kwa masaa karibu 72 sasa kanakata network kama hakana akili nzuri..kama hawaoni umuhimu wa kurekebisha mtandao wao ni bora waturudishie ela zetu tuhamie Airtel!
 
Voda wamekua washamba tu, Wajanja Night Offer inazengua ka nini, sasa ndo unanja gani huo???
 
hivi kuna m2 amejiunga na hii huduma ya voda ndani ya wiki hii akafanikiwa jama??
 
Back
Top Bottom