Nauza viwanja gezaulole vyenye vocha kama doc zinavyoonyesha hapo chini

mama cha

Senior Member
Aug 2, 2011
115
9
[h=2]Nauza viwanja gezaulole vyenye vocha kama doc zinavyoonyesha hapo chini[/h]
hivi ni viwanja vya kupima , unachotokiwa ni kulipa gharama kama inavyoonyesha hiyo vocha na hela yangu ya udalali ni milioni mojo kwa kila kiwanja-0712769766
 
Hivi inabidi ulipie rent na premium kila mwaka? Na aina gani matumizi ya kiwanja (Nyumba/biashara)?
 
yes rent ni kila mwaka ila premiun once in a life time,ni residential purposes
 
Vipi vocha bado zipo? Na hiyo bei ya vocha na commission yako ndio kazi imeisha au kuna malipo mengine???
 
Yaani tanzania imefika kubaya. Nyie ndio mafisadi wala rushwa, mmejinyakulia viwanja kinyemela mmepeana, sasa mnalangua!
Kweli only in tanzania. Na huogopi kusena hadharani unalangua vocha! Mie nimegoma kiwanja cha kulanguliwa baba, bora ninunue pori nipime. Ibeni vocha weeeh mkichoka nitanunua chalinze. Ila yana mwisho maigizo yenu haya.
 
Yaani tanzania imefika
kubaya. Nyie ndio mafisadi wala rushwa, mmejinyakulia viwanja kinyemela
mmepeana, sasa mnalangua!
Kweli only in tanzania. Na huogopi kusena hadharani unalangua vocha! Mie
nimegoma kiwanja cha kulanguliwa baba, bora ninunue pori nipime. Ibeni
vocha weeeh mkichoka nitanunua chalinze. Ila yana mwisho maigizo yenu
haya.

Haya yana mwisho pia ndugu yangu. U.F.I.S.A.D.I
 
Kufa kufaana mimi hunipata ng'o. Dalali unagonga pakubwa mno

Mimi naungana na wenzangu walichangia hapo DALALI UNAGONGA SANA MILLION MOJA?
MIMI NAOMBA UPUNGUZE KISHA NIANDIKIE KWENYE PRIVATE MESSAGE KWA MAELEZO ZAIDI NATAKA KILE CHA 6. MILLION
 
Back
Top Bottom