Business plan za aina zote zinapatikana ukifungua hii post | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Business plan za aina zote zinapatikana ukifungua hii post

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by C.T.U, Oct 10, 2012.

 1. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  http://www.bplans.com/sample_business_plans.php


  UNAWEZA TAFUTA BUSINESS PLAN UITAKAYO THEN UKA EDIT NI MOJA YA NJIA YA WEWE KUANDIKA BUSINESS PLAN
  THEN BAADAYA HAPO UNAENDA NA IDEA YAKO KWA WATAALAMU WA BIASHARA WA HAPO KARIBU NA ENEO ULILOKO THEN UNAWAPA WANAIANGALIA KAMA INAHITAJI KUREKEBISHWA AU HAIITAJI KUREKEBISHWA WANATOA IDEA ZAO KABLA YA KWENDA BENKI AU KWA INVESTOR

  ILA KAMA UNAJIAMINI WAWEZA KWENDA BANKI MOJA KWA MOJA AU KWA INVESTORS

  SABABU ILIYONIFANYA NITOE HII KITU NI KUWA WATU WENGI WALIKUWA WANAPATA SHIDA JINSI YA KUANDIKA BUSINESS PLAN NA WATU WENGINE WAKAWA WANAPATA ADVANTAGE HAPO MTU ANAKWAMBIA YEYE NI MWANDISHI WA BUSINESS PLAN ILA UKIMPA IDEA YAKO ANAKUJA HAPA ANA DOWNLOAD NA KU EDIT THEN ANAKU CHARGE PESA KIBAO WAKATI NI KAZI AMBAYO HATA WEWE UNAWEZA KUIFANYA
   
 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  hahah...usipende shortcut
   
 3. abdulrahim

  abdulrahim JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 379
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 60
  hahahah.....sasa mbona utakuwa hujamsaidia?
   
 4. k

  kukile Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Umenikuna and you have come timely. Nilikuwa nahangaika namna ys kutengeneza. Sasa ngoja nichague ninayoitaka
   
 5. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  shortcut gani mkuu wakati mwisho wa siku unampelekea mtaalamu wa biasharaanaiangalia kamaiko okay anaiacha kama ina mapungufu anaiongezea na kuirekebisha??
   
 6. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Haina shida
   
 7. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  mkuu kwanini?
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kisela utakuwa umepunguza cost lakini wa bongo walivyonadharau sijui..
   
 9. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Dharau ipi mkuu?
   
 10. s

  soon Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks bro
   
 11. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  poa mkuu ngoja tuipitie tuone ikoje
   
 12. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,293
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  thenkyu mkuu,

  desa la ukweli !
   
 13. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha ha!
  Wanacopy na ku past au sio!
   
 14. IPILIMO

  IPILIMO JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,773
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  MKUU, uko sahihi, lakini hata kama watadownload sample business plan, still ni kazi inayo hitaji atleast mwanga wa kutosha kuifanya your REAL BUSINESS PLAN, ndio maana kuna bankable/fundable business plan na zingine hata ukopi vipi You cant. So kwa wale wenye uelewa kama mimi kuhusu BP write-ups huwa nikipata sample kama hiyo ni kama nyenzo, k\lakini lazima nitulie vizuri katika kuandika hiyo BP COZ MWISHO WA SIKU unaweza kuhitajika kuidefend au kupresent mbele ya wadau husika. NAPENDEKEZA KAMA HUNA UJUZI WALA UZOEFU WA KUANDIKA BP, KUDOWNLOAD SI KUFANIKIWA KUWA NA WINNING BP!! Consultants wapo kwa ajili hiyo, tusibeze kwamba wanadownload tu, brother ni kazi kuandika, coz mwisho wa siku hakuna consultant atakeyetaka kazi ya mteja wake ifeli kutokana na kuchemsha kuiandika. This is my experience on writing. Afterall Business ideas hazifanani, kila moja yaweza kuwa na details zake kutokana na setting yake, type of business, location, competitors analysis, SWOT analysis etc.
  Ni hayo tu mkuu!
   
Loading...