Recent content by kudra haji

  1. K

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ziara ya Rais Magufuli bandarini haikuwa na jipya, amefanya kazi iliyotakiwa kufanywa na Afisa wa TRA

    Zitto mambo yako ni mazito kama lilivyo jina lako.Unafikiria mbali zaid kuliko anavyofikiria jiwe
  2. K

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Niulize chochote kuhusu wanawake

    Good topic
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mpende, mchukie lakini Zitto anaendelea kuwa mwanasiasa adimu katika Tanzania yetu

    Du! Ama kweli mjinga ni ww.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

    Broo nipatie hizo code za kuweka kwenye simu isipatikane au itapendeza zaid ikiwa inapokelewa na mhudum wa huduma kwa wateja
  5. K

    JamiiForums Tanzania Upi ni ukweli kuhusu THE PHILADELPHIA EXPERIMENT

    Aisee! Plz broo nami nahitaji vitu adimu km hivyo.Naomba ukiwa unaweka nami unanishtua
  6. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe amjibu Humphrey Polepole. Asema yupo tayari kukamatwa na hata kuuawa ila mawazo yake hayatakufa

    Da! Kwa nini tusipewe jibu rahisi tu kua tri.1 na bill 5 zimetumikaje? Kuliko kumrushia maneno mengi Zitto.Bila shaka huenda labda Zitto yupo sahihi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Magufuli imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa

    Du! Uchambuzi makini saana broo Zzk.Hali ni tete.Big up kwa kutuelimisha.Bila shaka watajirekebisha wahusika
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nick wa Pili na mbwembwe za usomi

    Upo sahihi kaka
  9. K

    JamiiForums Tanzania Maji ni Mtego wa Umasikini (poverty trap)

    Aisee ndugu Zitto analysis yake kuhusu maji ni sahihi kabisa. Karibu saana mheshimiwa. Tunahitaji fikra zako pevu.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Clouds FM, Diva the bawse anatumia stori za JamiiForums kwenye kipindi chake

    Aisee nami nimesikitika saana! Si uungwana
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutafsiri picha hii kwa madaktari hasa wataalamu wa uzazi

    Acheni kumkatisha tamaa.Hilo tatizo linatibika kabisaa.Kama upo Dar nenda hospital ya Tumain ipo Upanga.Muone dkt specialist anaitwa Thomas ni mwanamke atakusaidia.Mm ni shuhuda
Back
Top Bottom