kudra haji
Member
- Jan 11, 2018
- 27
- 30
Acheni kumkatisha tamaa.Hilo tatizo linatibika kabisaa.Kama upo Dar nenda hospital ya Tumain ipo Upanga.Muone dkt specialist anaitwa Thomas ni mwanamke atakusaidia.Mm ni shuhuda
Huwa zinakuwaga sijui zinaogopa utashangaa zipo kwenye shukamkuu umejuaje?
Hao ni wale wanaokula sana karanga na mihogo mibich production ya sperms inakuwa nyingiJamani Wewe mwenzio ana shida
Ila kuna wanaume wakikukojolea inabidi uvae pedi ni kwanini Mkuu?
Kuna mmoja mume alikuwa na kisukari so akapata na problems hiyo ya low sperms count si a kaenda agakhan eti wakatoa sperm za jamaa wakamwagia kwa mke then akalala chali kwa dk15 kweli kitu kikatikiWale jamaa wa mikocheni kufanikisha kwao sio saana sishauri mtu sana Nina uzoefu bora aende south au nairobi
sYes babes!
Capable of motion.
Kwa mfano hizi zangu zina spidi kali sana. Nikikumwagia kama uko kwenye siku mbaya lazima inase tu.
Tujaribu siku moja uone...
Basi Raisi wa "daslum" angefanikisha yote yeye katika aliye Nairobaa.Kwa teknolojia ya leo hata hapo Nairobi Kenyatta Hosp. wanachukua moja tu na kuipandikisha yai pevu unapata moutoto ile ina kufanana baada ya mesi 9 tu.
Kuna watu wana sperm Kali sana kuna mdada alipata mimba swimming pool ,mwingine alitumia taulo la baba yake tena binti ndo alikuwa ana mwezi tu kuvunja ungoKuna mmoja mume alikuwa na kisukari so akapata na problems hiyo ya low sperms count si a kaenda agakhan eti wakatoa sperm za jamaa wakamwagia kwa mke then akalala chali kwa dk15 kweli kitu kikatiki
Ahahaaas
Afu naona huu ubeibebeibe unataka kuvuka risasi ya Kinondoni. You must watch yo self bros.
Hao ni wale wanaokula sana karanga na mihogo mibich production ya sperms inakuwa nyingi
Sio lazima Nairobi hata hapa dar
Ila bongo wazushi sana sio wa kuamini kiivo unaweza kupoteza hela bure
Wale wahindi bado sana
Ahahaa sijasema hivo bnaKumbe mkuu unajua wazi kuwa hapa bongo ni kibongobongo tu sio. Basi Nairobi ndio wenyewe. Bongo waweza hata kukuwekea mjusi
Basi Raisi wa "daslum" angefanikisha yote yeye katika aliye Nairobaa.
Ahahaa sijasema hivo bna
Bongo hela nyingi halafu ni kama unabahatisha uhakika hakuna kiivo
Hiyo ya taulo kali khaKuna watu wana sperm Kali sana kuna mdada alipata mimba swimming pool ,mwingine alitumia taulo la baba yake tena binti ndo alikuwa ana mwezi tu kuvunja ungo
Ila si umeelewa mkuuProduction ya sperm au semen?
Nadhani utakuwa umechanganya hapo.
Hii nayo ni lugha gani sasa maana kwenye kamusi haipoKama inawesa ambia yeye lakini mimi nasauri uyu mutu akuje pande ii atarudi kwao na anakuwa mujamusito tiyari. Lakini, lasima ikuje yote mbili yaani uyo munye iyo mbegu afifu na uyo munye iyo yai pefu tiyari
Huwa zinakuwaga sijui zinaogopa utashangaa zipo kwenye shuka
Sound ridiculously kabisa, yani mtu aje tu from no where na beibebei yake kisa kapanda pantoni or themoth ya mzungu, afu vijana wa Kino tunaokujua alfa na omega tunaangalia tu....!?Ahahaaa